Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Ni movie iliyozinduliwa september mwaka huu ikiwa na maudhui na muendelezo wa Conjuring, kama wewe ni muoga kaa mbali.
4 Reactions
218 Replies
38K Views
Habari wakuu, Nasikitika kusema kwamba BIKO SPORTS HAWAKO FAIR. Mtu akijisajili kwao hakuna namna ya ku unsubscribe kupata notifications pale kwenye website yao. Wamekuwa wanatuma sana message...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
Kwa wale wapenzi wa salsa tukumbushane enzi za hawa jamaa.
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ukisikiliza mziki wa Lucky Dube vizuri utagundua kamshinda Bob Marley kwa vitu vingi,sauti,beats,ingawa kiujumbe wanafanana,ila mziki wa Lucky Dube unavutia zaidi ukisikiliza. Nadhani Bob Marley...
12 Reactions
132 Replies
32K Views
NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA 1: Ilikuwa kwenye mida ya saa mbili usiku wakati tumekaaa kwaajili ya chakula cha usiku. Wakati nakula simu yangu ikaita kuangalia mpigaji ni mpenzi wangu Sam...
1 Reactions
8 Replies
36K Views
Wakuu....ni channel gani ya startimes unaipenda? mimi naipenda sana st plus (startimes plus nambari 119) Hata wakiondoa channels zote hii wakiiacha sina tatizo.......naipenda sn maana ni series...
0 Reactions
56 Replies
4K Views
Mtunzi Juma hiza 01 Suzani alikuwa amejifungia chumbani kwake, wakati huo alikuwa akilia kwa uchungu. Hakutaka kuamini kile kilichokuwa kimetokea katika maisha yake.Mkononi mwake...
9 Reactions
92 Replies
10K Views
Tunalipia pesa nyingi ila tunaona channel chache,kwanini hamtaki kufanya utaratibu wa kuturudishia channel za nyumbani na pia muongeze channel za movie,music,wrestling badilikeni Sent using Jamii...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hizi movie 1.avengers infinity war 2018 2.captain america the winter soldier Zimenivutia sana kama nyingne unafaham yenye maudhui kama yaliopo kweny movie hizo bandika hapa.
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Msanii pendwa wa muziki aina ya afro pop toka pande za Naija Timaya ametuletea ngoma mpya akiwa amemshirikisha Kingkiba ngoma inaitwa Number one inapatikana kwenye EP inayoitwa Chulo vibes hapa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Tumechelewa lakini bado hatujachelewa, mambo yanazini kunoga Otoman Empire, Basi hii ni Thread yetu maalum wa kupashana kinachoendelea kwenye Tamthilia hii inayorushwa na kituo cha Azam media kila...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Hebu tujikumbushe The way Back, music ulipokuwa ukibamba na watu kuuza kazi zao.
1 Reactions
29 Replies
12K Views
1. Jack Ryan > Kuipata nenda google andika Jack Ryan season 1 index (ukitumia operamin ni rahisi zaidi) 2. Ghoul > Kuipata nenda google andika Ghoul season 1 index (operamini ni rahisi zaidi) 3...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu Naomba kujuzwa mahali ilipo WASAFI FM hapa dar, nackia ipo mbezi beach ila sijajua mbezi sehemu gani Nahitaji nipeleke ngoma yangu pale. Thanks
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huu wimbo ameutoa siku kama sita zilizopita , full kumsifia mwanaume anayemkuna sawa sawa.. Wangapi wamemwelewa huyu kwenye hii staili mpya anayoimba Wimbo Huo Huu Hapa:
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Kuna wimbo mmoja wa Diamond Sound unaitwa nadhani Valentine. Nimeutafuta sana sijaupata wadau, mwenye link please anaweza kushare hapa. Nakumbuka baadhi ya lyrics kama:” Jumamosii eeeeeeh...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Hellow habari zenu Nimeanza kujifunza kutengeneza beat miezi kama mitatu iliyopita nimetengeneza beat kadhaa zikiwemo hizi ebu nipeni ushauri wenu kitu gani kinamiss kufanya beat ikawa poa zaidi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wandugu. kuna tamthilia flani ya kichina inarushwa tbc imetafsiriwa kwa kiswahili....please naomba alie na hii series tuwasiliane...niko tayari kuchangia gharama kidogo..akipenda.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wapenzi wa muziki nadhani mnamkumbuka kijana wetu mwimbaji Wazir Sonyo .Ninaomba kujua yuko wapi na je anaendeleza kipaji chake cha uimbaji au ndio kapotea? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom