Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Siku Zote Mtu Anayefanya Mazoezi Katika Fani Yoyote Huishia Kuwa Bora Zaidi!. Sio siri hili kabila katka kuimba wanaimba, na wanafanya matamasha ambayo ni local, lakini kama mtu uko kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba Niulize hili jambo la kuomba Saini kwa watu maarufu kama wasanii au wachezaji na watu wengine hua ni kwa maana gani au lengo gani naomba nijulishwe. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
933 Views
Miaka yetu sisi tunasikiliza music pure, genuine not contaminated. Huwa nakumbuka mbali sana kiasi natamani nisikie na wenzangu kama walikuwa na zama kama hizi. Siku zote najiuliza. Wakati...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Kiufupi inahusu mwalimu wa chemistry alie na familia ya mke na watoto wawili gafla anagundulika ana kansa,,anajua amebakiwa na maisha mafupi, sasa anatafuta njia ya kuifanya familia yake ibaki na...
14 Reactions
85 Replies
11K Views
xpau.se wamebadili domain yao.Mwenye mpya naomba Anisaidie.wapenda movie wenzangu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
662 Views
UTANGULIZI Kila mafanikio yaonekanayo kwa kwa mtu kuna nyakati ngumu mtu huyo alizopitia mpaka kufikia hapo. Katika nyakati hizo ngumu mtu anazopitia ili kufikia mafanikio yake, kuna changamoto...
2 Reactions
62 Replies
10K Views
Huwa nausikia sana ila nashindwa kuju ni wa nani nidownload.Ukiusikiliza huwezi sikia hata neno moja ,na utadhani ni beat tu ila background ni wtoto wanapiga kelele Wazoefu walionielewa nautafuta...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Jamani, nini faida ya onyesho hili kwa taifa letu la leo, utamaduni wetu na vizazi vijavyo?
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Jirani msamaria mwema alipiga simu namba 116 Kituo cha Huduma ya Simu kwa Mtoto baada ya kushuhudia tendo la ulawiti katika kituo cha kulelea watoto kilichopo jirani na makazi yake. Aliendelea...
4 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari,nahitaji kufahamu taratibu za kufungua kituo cha michezo kwaajili ya mafunzo ya kung-fu kwa watoto,msaada!! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imenibidi nikumbuke filamu hii ya FIMBO YA MNYONGE maarufu YOMBA YOMBA hasa nikiangalia sinema zetu hizi sasa za wanaojiita 'mastaa' wa bongo movie. ni sinema ya siku nyigi lakini ilikuwa maarufu...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Bongofleva kwa sasa imesheheni wasanii wengi na wakali, kila siku zinatoka nyimbo nzuri na kali zenye ujazo wa haja. Nyingi ya hizo nyimbo huwa na verse kuanzia 2 na kuendelea na huwa hazizidi 4...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
SEHEMU YA 1. Ndege kubwa toka shirika la ndege duniani Qutar ilionekana ikitafuta uelekeo mzuri wa kutua ndani ya uwanja wa kimataifa wa Hamid karzai international airport ndani ya mji wa kabul...
7 Reactions
94 Replies
12K Views
kwa wale wapenzi wa michano mnakumbuka mtambo? jos mtambo toka kigambo- nino? jamaa alikuwa anachana toka kitambo na wimbo wake wa kidhaa dhaa... mbona alikuwa anachana fesh sana? nini tatizo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
RIWAYA: KONSTEBO NGUZU NA: George Iron Mosenya "Nimekosa magoli zaidi ya 9000 katika maisha yangu, nimepoteza mechi zaidi ya 300 katika maisha yangu, niliaminiwa mara 26 kuwa nitaipatia timu...
7 Reactions
70 Replies
9K Views
SEHEMU YA 01-Nyemo Chilongani “Unahitaji kuwa nani baadaye?” lilikuwa swali la kwanza mzee Jackson Gwamaka alimuuliza binti yake aliyeitwa Nandy aliyekuwa akisoma darasa la sita katika Shule ya...
12 Reactions
403 Replies
58K Views
Huu wimbo unaitwa January unaeleza hali halisi ya January ilivyo karibu usikilize Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
814 Views
Sikuwahi kuzipenda muvi za Kihindi ila baada ya kuona trela la muvi iitwayo I, nikaamua kuidownload, imeigizwa mwaka huu, nilitaka kuona inahusu nini. Kiukweli niliipenda mno, hebu ngoja...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Msichana Josie anatarajiwa kuolewa na jamaa aliyeitwa Liam, moyo wake una furaha sana, anapambwa, anajiandaa kwenda kufunga ndoa kanisani. Baada ya dakika kadhaa wanaingia marafiki wa mume...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom