Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Labda kuna nyingine hongera ruge mutahaba Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Haya wadau tukiwa unakaribia mwaka mpya katika kusogeza wakati hebu tuwatambue waliofanya vema 2018. Hapa specifically kwa wapenzi wa muziki, kwa mtazamo wako ni wimbo gani unastahili wimbo bora...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Hizi heshima wanazipata kina kanye west na wasanii wakubwa wa marekani na Nigeria, kwetu sisi hii ni mara ya kwanza kwa luninga ya kitaifa ya taifa jingine kuonyesha show nzima (yani mwanzo hadi...
8 Reactions
66 Replies
8K Views
Le band kutoka 254 Kenya wamerelease ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la "Number 1" na kumshirikisha msanii Suzziah. Ni bonge la ngoma lenye kichupa kikali, melody imesimama na ujumbe mzuri...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huyu ni msanii mkali sana tena akimshirikisha mtu kama Davido au Mond album yake itauzwa kama njugu hana haja tena ya kuwa RC Eee chikichi chikichi , Eee chikichi chikichi Sukuma ndani...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
NI, NINI KIMETOKEA KWENYE MUZIKI WA BONGO FLEVA? NA NOEL NGUZO. Mpaka sasa mjadala mkali unaendelea kuhusu nani hasa aliyeupa jina la "bongo fleva"muziki wa kizazi kipya.Wengine wanamtaja...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimewahi Kuhudhuria ' Shows ' za Mashujaa Band na Twanga Pepeta huko nyuma ambako ' interest ' yangu Kubwa ilikuwa ni kuona tu Kwanza jinsi wanavyofanya ' Maandalizi ' yao pale Jukwaani hasa kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nadhani hili sio neno geni kwa wengi ila nataka nilizingumzie kwa kina. Kwa nini ilianzishwa na ni yapi madhara yake. Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
2 Replies
861 Views
NI, NINI KIMETOKEA KWENYE MUZIKI WA BONGO FLEVA? NA NOEL NGUZO. Mpaka sasa mjadala mkali unaendelea kuhusu nani hasa aliyeupa jina la "bongo fleva"muziki wa kizazi kipya.Wengine wanamtaja...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa nyimbo za kikongo, hasa rhumba mtakuwa mnaujua huu wimbo, kila nikiusikiliza utafikiri umetoka jana, naurudia usiku, mchana, asubuhi n.k Jamaa alitulia sana kwenye hii nyimbo...
2 Reactions
15 Replies
6K Views
King Of Betting Tips Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
657 Views
jamani dungu wana jf naomba web ya kupata nyimbo mpya za bongo freva?
0 Reactions
4 Replies
16K Views
Mwanamuziki huyu alivuma sana Afrika Mashariki kwa sisi ambao ni wahenga kidogo, miaka ya mwanzoni mwa 2000. Alikuwa akitusuuza nyoyo zetu kwa vibao vyake vikali kama "mama Mia" "acha kulia mambo...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
BRING BACK OUR GIRLS SEHEMU YA KWANZA MTUNZI: PATRICK.CK Mlango wa ikulu unafunguliwa na rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania anajitokeza mbele ya waandishi wa habari walioitwa kwa...
9 Reactions
426 Replies
102K Views
Mimi ni shabiki mkubwa na mpenz wa kuangalia na kusikiliza movie zilizotafsiriwa na CAPTAIN DERICK MKANDALA RUFUFU tu, lakini sizipati siku hiz. Naombeni msaada wenu yyt atakaeweza kunisaidia...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwa siku zisizopungua tano Azam TV kupitia channel yake ya sinema zetu imekuwa ikionyesha filamu za legendary Steven Kanumba kama kumbukumbu kwake.binafsi nimefurahi namna walivyompa hiyo heshima...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu namtafuta mwimbaji na mcheza ngoma za kienyeji maarufu miaka ya 1980 na 1990 aitwaye MWANAMITUMBA. Mara ya mwisho nilisikia yupo kijiji kimoja jina limenitoka huko BUKENE Tabora. Mwenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimekuwa mchezaji mkubwa huu mchezo. Huwa nakula na naliwa pia. Kakini ninachokiona ni kwamba yapo majina yana appear sana kana unaweza dhani kuna kanuni fulani ya mzunguko wa mashine wanaufahamu...
1 Reactions
26 Replies
33K Views
Kiukwel nimesikiliza wimbo huu na nyingne za huyu jamaa "Apoly" ana tungo nzuri saana nadhani akipata management nzuri n mwiba
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom