Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Hivi Mwenyezi Mungu aliwabariki na nini hawa Wanamuziki wote wa iliyokuwa inaunda Kundi zima la Bendi ya Wenge Musica BCBG ( zamani 4X4 ) kiasi kwamba huchoki Kusikiliza Nyimbo zao kutokana na...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Habarini wana JF, natafuta ule wimbo maarufu katika kipindi Hiki cha Christmas na mwakampya (tufurahi na mwakampya) by Hamza Kalala,..happy new year Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Haka katoto kakuitwa angel ambacho kapo based uholanzi aisee ni moto. Needn't to say more.....
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Zijue sababu za Kings Music kuachia nyimbo mfululizo Msanii wa muziki Bongo, Alikiba amefunguka sababu za Kings Music kuachia nyimbo mfululizo. "Kutoa kwetu nyimbo mfululizo sisi kama Kings...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Barnabas akichana wimbo wake 'Njia Panda' aliomshirikisha Dorine aka Pipi pichani Saturday, June 06, 2009 7:35 AM...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
nnahitaj kula bata tonight
0 Reactions
17 Replies
5K Views
NDOA YANGU EPISODE -01 Baada ya kufuta meza ya chakula na kuosha vyombo, nilienda chumbani, sikujisumbua kusema usiku mwema kwa Antony ambae alikuwa sebuleni akiangalia fainali ya ligi ya mpira...
1 Reactions
26 Replies
19K Views
Habari wakuu,mwenye hii simulizi ya picha za michoro naomba anisaidie kunitumia kama anayo yote au jina lake inaitwaje.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Heri ya siku ya ukimwi duniani wadau, mm leo nmeamka tu ile npo kazn basi nkawa nacheck check channel mpya kwenye kisimbusi changu cha Azam. Mara paap kwese Tv hiyo hapo, kusogeza tena mara Tv10...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Aya wazawa wa jiji lao la kunukia, tupeane code za viwanja weekend tujumuike na sisi wageni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Huu ni uzi maalum kwa wanaJF kuweka Nyimbo Wanazohisi ni nzuri Ajabu na Zitaishi Milele. Mtu ukitaka kusikiliza Nyimbo zilizoenda Shule Huu uzi utakuwa unakuhusu sana. Maana Kila mtu ataweka sumu...
1 Reactions
70 Replies
7K Views
Hivi ule mtindo wa kuwa anafumba macho kwa mda kidogo wakati akitangaza ni pozi au ana ulemavu kidogo...manaake naona kama anapata shida kidogo na kuna mda unaweza kusema anasinzia hadi anakutoa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Njooni tujulishane Film/ Movie/ Video yako ya kwanza kabisa kuanza kuangalia? Mimi nakumbuka ilikuwa ni Filamu ya Yesu ( Video ya Yesu) ile ya Kiswahili, nakumbuka tulikusanyika kijiji kizima...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Wadau wa burudani kwa maoni yangu hizi ndio nyimbo bora za bongo flavour kwa mwaka 2018. Weka nawewe ya kwako tuone. 10.TUNAENDANA-B2K. 9.NYEGEZI-RAYVANNY FT DIAMOND P. 8.KIDOGO-ALIKIBA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu, Tunapoeleka kufunga mwaka 2018 ningependa kutoa orodha ya nyimbo zilizonibamba kwa mwaka huu wa 2018.... No 1..ZeZe by Kodak black ft.Travis Scott & Offset No 2-wake up in the sky by...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
DISCLAIMER: Tamthiliya hii sio ya kimama kama wengi wanavyoichukulia. Ni historical fact so nikisikia watu wanawabeza wanaume kuitazama nabaki kusikitika tu. Nakumbuka niliisoma hii historia...
5 Reactions
56 Replies
16K Views
TBC wameanzisha channel mpya inaitwa safari Tv. Hili ni wazo jema na zuri sana. Tatizo ukiingia kwenye menu inaonekana kama safari tv ila Tv yenyewe inasoma au inaonekana kama Tanzania safari...
0 Reactions
1 Replies
852 Views
Wakuuu kwema..!!!Kuna huyu Presenter anaitwa lil ommy ana kipindo chake kinaitwa The play list kuna ile sound track ya mziki uwa unalia kwa mbali lile beat la ule mziki ile ni ngoma gani msaada...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Contrary to previous reports, Cardi B has asserted that her latest rendezvous with Offset in Puerto Rico was not the result of any reconciliation, but rather a transactional interaction when she...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Merry Christmas Asprin
7 Reactions
77 Replies
4K Views
Back
Top Bottom