Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kwa ambaye alifuatilia hiki kipindi pendwa cha vijana Siku ya Jana J'mosi kinachorushwa EA Radio na Mnyama Jr Junior.. Naomba kuniwekea hapa Nyimbo 5 za juu kwa siku ya Jana.. Nitafurahi sana
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ey.. Jamani huu wimbo unanikosha.... Alafu haka katoto kanatoaga nyimbo tamu sana sana sijui km kuna wimbo hauchezeki huu wimbo unachezeka ila sina mashairi yake..mwenye kuweza kuniwekea mashairi...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa hii KIKI ambayo Basata wanampa Diamond na Basata ya kenya inaonekana kama inampa Authorization ya yeye kupiga shows.Mashabiki wa muziki wa kenya wanachukulia kama Vita ya Mkizi furaha kwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
That peaceful evening drinking beer with friends at a beautiful pub or bar, this song is played at the background. you know how it feels.:cool::cool: Madilu Sytem
0 Reactions
2 Replies
541 Views
Mamajusi Choir ni choir maarufu iliyopo Moshi mkoa wa Kilimanjaro inayopatikana katika kanisa la Anglikani, Week iliyopita alifariki mzee mmoja aliyekua moja kati ya wanakwaya ambye alikua ni mzee...
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Wakuu naulizia hii kwaya iliyotikisa sana katika anga la muziki wa injili bongo wako wapi na mipango yao ya uinjilishaji kupitia mziki imeisha au ndio wengi wao wamezeeka na wamestaafu mziki wa...
1 Reactions
36 Replies
9K Views
Sahisho typing error simba*
0 Reactions
1 Replies
588 Views
Imethibitika kuwa nkana leo kuanza mpira kwa staili ya kuutoa nje. Kama yanga walivyoanza wakati wanacheza na simba. Wanasimba tutegemee nini kama hawa jamaa wakianza kwa staili hii. Je yanga...
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Naomba mwenye soft copy ya kitabu tajwa hapo juu anisaidie tafadhali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Eleza maana ya BASATA na double standard zake? Wnafanya kazi Kwa weredi au Kwa maelekezo?
0 Reactions
1 Replies
666 Views
1. Ooh baby mwenzako mi nawashwa pabaya.....(Nimesahau jina la msanii) 2. Kindinda kikidinda nakitia mimba.....(Joh Makini) Ongezea nyingine hapo Cc: BASATA
2 Reactions
41 Replies
6K Views
Ustaa ni kitu kikubwa sana, unapofanikiwa kuwa staa mambo mengi hubadilika katika maisha nawe unabidi ujifunze kubadilika kwa kika hatua unayopiga. Diamond kijana wetu inabidi ujifunze...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Amerudi Tena msanii anayevuma kutoka waasafi aitwaye lavalava, tafuta wimbo wake mpya niuwe Kisha Download mp3 ama uangalie video yake mpya.
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Natafuta tamthilia za kifilipino zilizo tafsriwa kwa kingereza. 1)TIMELESS 2)IT MIGHT BE YOU 3)MORE THAN LOVE 4)MARIMARI 5)MARACLARA 6)ENDLESS LOVE Kwa yoyote anaejua zinakopatika naomba anijuze
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Waswahili hawakukosea pale waliposema "Duniani wawili wawili", yaani binadamu tunafanana. Lakini ulishawahi kujiuliza kama unaweza kufanana na viumbe hai wengine tofauti na binadamu?? Mtizame...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
4 Reactions
20 Replies
2K Views
kwa mtaalamu anaejua wapi pakudanload nyimbo na album zinazotoka kwa huu wakati msaada nataka kudankoad album ya ;; 1 championship ya mick meel 2 ya 69 3 xxxtetacion 4 21savege
0 Reactions
1 Replies
1K Views
*THE PROMISE* ```Kwa Wahenga wenzangu..!``` *_Nazungumzia ile Original...ila ambayo kulikuwa na yule mdada mzuriii wa kifilipino wakuitwa YNA MORATA na Mpenzi wake ANGELO...Na ndugu zao akina...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Back
Top Bottom