Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
KOFFI OLOMIDE": Kabla hata Group "QUARTIER LATIN" halijaanzishwa rasmi, nilikua nikifahamika Inchini kote kama "L'ETUDIANT LE PLUS CELEBRE DU ZAIRE" / MWANAFUNZI ALIE MAARUFU SANA INCHINI ZAIRE...
7 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu Mimi nashindwa kuelewa kweli kuhusu soudbrown na diamond platnumz mbona anamuwinda sana mtoto wa watu? Ndo kutumwa na ruge mutahaba kiasi hiki kweli hakika kuna MTU mwisho wake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Akiwa kashikilia nyaraka za kibenki mikononi mwake, kwa taratibu Johari alielekea chumba maalum cha maongezi cha benki yao. Chumba ambacho kilitengwa maalum kwa ajili ya kufanya maongezi na wateja...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Wakuu huu wimbo nimeubamba ndani siku mbili hizi. Naona umenikolea vibaya sana mpaka leo kutwa nzima nausikiliza Do anybody is familiar with this very nice song?
0 Reactions
3 Replies
885 Views
Yanga bhanaa
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Bila kupoteza Muda nitaeleza mapungufu na maboresho katika wimbo huu. 1.Wimbo huu umetumika kama tangazo pia la kinywaji cha Mofaya ambapo mwanzo alikiba anawasiliana na mpezi wake kumpa miadi ya...
3 Reactions
27 Replies
7K Views
Kwenye hii mnaita bongofleva alikiba ameitendea haki Sana kuna nyimbo Kama hii ya mwana Alikiba Mali ni nyingi nyumbani kipi kimekukimbiza Ona babio mamio wote wanakulilia Mtoto peke yako...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Samata ni mchezaji mwenye magoli 11 katika ligi ya ubelgiji akiwa anaongoza,amaekua faraja sana kwa watanzania. siku chache zilizopita alitengeneza makala inayomusuhu maisha yake kiujumla
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale waliofika tunduma naombeni mnitqjie baadhi ya mitaa ya huko
0 Reactions
3 Replies
37K Views
Habari za week end wakuu. Jamani kama kuna mwenye audio ya zamani ya nyimbo ya diamond I miss you, ile ambayo verse ya pili ni tofauti na I miss you yenye video..... naomba mnitumie wakuuu. Asante
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naamini kuna wana TBC huwa wanapita humu! 1, Jumamosi ya kesho (Tarehe 15 december) rasmi mtazindua chanel yenu mpya kwa ajili ya utalii itayoitwa TANZANIA SAFARI, hii ni hatua kubwa na nzuri na...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Mimi binafsi si mpenzi wa muziki wa taarabu lakini nimekuwa nikiufuatilia kwa muda sasa...Kitu kinachonivutia ni lugha ya picha ambayo inavutia sana endapo mtu unapata nafasi ya kuitafakari...
3 Reactions
125 Replies
40K Views
2 Reactions
2 Replies
523 Views
Nyimbo ya kufungia mwaka
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa Nimekuwa mfatiliaji wa muziki wa hiphop kwa mda mrefu, nyimbo nyingi zimetoka hivi karibuni,ila hii ya young killer imenifanya kuukumbuka mziki mzuri wa hiphop baadhi ya...
0 Reactions
33 Replies
11K Views
Inasemekana hii imetokana na mafanikio yake kwenye biashara zake mbali na muziki ambapo ameingiza mkwanja mrefu sana kwenye DiamondKaranga,ChibuPafyum,Ubalozi wake kwenye kampuni kubwa kama...
8 Reactions
102 Replies
51K Views
Back
Top Bottom