Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kulikuwa na riwaya ya kijasusi hapa inaitwa SGT Philipo sijui imepoteaje hapa jukwaani. Mrejesho pleaseeee
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jana nlipata wasaa wa kuangalia mashindano ya Bongo Star Search (BSS). Nmeangalia perfomance ya wale washindani pamoja na ile band yao, aisee napenda kukiri wale jamaa wa band wanajua vibaya mno...
0 Reactions
2 Replies
682 Views
Habari wakuu Mimi ni mpenzi sana wa muziki mzuri na nitafurahi sana endapo kuna mtu anazo nyimbo zile original za choir ya vijana mabibo ile ulbum ya sauti ikatoka Nimejaribu kuingia youtube...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa sasa tamthilia inayoshikilia headlines kibongo bongo ni sultan..ukiingia instagram ndio habari ya mujini,ni tamthilia inayozungumzia historia ya kweli ya empire ya ottaman ambayo inasemekana...
10 Reactions
260 Replies
46K Views
Chin bees katoa ngoma mpya inaitwa ladha..kiukweli huyu jamaa anajua sana tuu sana.. nendeni YouTube mkacheki..mimi kuziweka hapa inazingua....
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Plz mwenye ujuz wa kudownlod drama za kiphilipino episode zote zkiwa kweny mfumo wa English language naomba anisaidie coz hata kwenye app ya startimes zpo nyng bt cwez kuzdownload
0 Reactions
0 Replies
636 Views
MODS naomba msiunganishe hii thread tafadhali Soma lyrics halafu tafakari mwenyewe watu wazima na akili zao wakiimba na kucheza na kujirekodi na kutupia mtandaoni nyimbo iliyojaa matusi eti kisa...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
KITANDA CHA KUWADI LUCY aligonga mlango, na kabla hajajibiwa, akaingia moja kwa moja hadi ndani. Alipokwisha kuingia, ndipo macho yake yalipiga kwenye sofa. Akamwona Teddy akiendelea kusoma...
2 Reactions
15 Replies
8K Views
Sikiliza pia maoni yako yanahitajika Mimi no shabiki namba moja wa nay wa mitego wew je?
0 Reactions
2 Replies
21K Views
......For me, Hawa Ndo Majemedari WA Music Tz All Time. Kila nikiangalia New songs za Mbunge wa Mikumi, navurugwa Sana, na naenda Mbali Sana mpaka Hard Blastars enzi Hizo Za Fanani. Na Kuhusu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu viongozi. Jamani mi nimefika jana dar je, nianzie wapi kutafuta ajira. Nina elimu ya darasa la saba na sina hata hiko cheti cha kumaliza shule. Msaada wenu tafadhali. Kwa anayeweza...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
.....Anaejuha Hali ya Afya ya Alli Choki please, Nimemkumbuka Sana Wadau WA dance
0 Reactions
0 Replies
373 Views
Mashabiki wa RayVanny Morogoro waimba Mwanza Nyegezi - JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeamua kuwa, fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2019 zilizopangwa kufanyika #Cameroon, hazitofanyika tena nchini humo kutokana na sababu za kiusalama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hakuna anayebisha hii ndio ngoma Kali ya kufungia mwaka. Huu wimbo kiukweli ni mkali kutokana na jinsi walivyotambaa na beat, baada ya Harmonize kuingiza verse ya kwanza kisha Rayvanny kuingiza...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Nataka kujifurahisha leo na taarabu kama kuna anaejua kumbi za taarabu na ratiba ya leo Jumatano anijuze.
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari zenu wananchi, Kama kichwa kinavyosema ninahitaji msaada wenu katika kutengeneza orodha hiyo. Nitakuwa ninaweka majina yote ambayo mtakuwa mkiiyapost hapa ili kujua kama unayetaka kumpost...
0 Reactions
50 Replies
11K Views
SIMULIZI;MAPENZI YA KICHAWI. MTUNZI;RAJA SAIDY. WHATSAPP;0756920739. SMS;0621047841. SEHEMU YA KWANZA ( 1 ) Mwezi wa pili huu bado sijapata suluhisho la jambo ili,yaweza kuwa ndio hukumu ya...
2 Reactions
0 Replies
11K Views
Back
Top Bottom