Nifurahi iliyoje kuona timu kila mchezo inapata matokeo niwapongeze wachezaji kwa uzalendo wao katika club yetu ya yanga tunapita kipindi kigumu ndani ya timu yetu hasa kiuchumi lakini wachezaji...
Anaonekana amerudi hali yake ya awali anaendelea vizuri Mungu amsaidie. Ukienda Youtube utaona nimeshindwa kuupload. anayeweza atafute huo wimbo aupakie. Wimbo fungua link hii:
SHOW YA IRINGA:
Show ya jana ya Wasafi wamejitahidi sana kuimprove... Vile vile kubadilisha hasa suala la kupoteza muda... Vilevile katika kuchagua list ya wasanii, suala ambalo wasafi inabidi...
Nimeshangaa hatua waliyofikia ndugu zetu wa Nigeria kuigiza filamu za ngono bila aibu yoyote naona huko kwao maadili ndo hakuna tena.
Wadada wazuri wanafanyishwa ngono huku wakirekodiwa na camera...
Germany Women 2-0 Brazil Women
Germany edged out Brazil in a gripping match to became the first team to retain the Women's World Cup.
Sandra Smisek showed great composure to pick out...
Boyz II Men's songs for the end of the road
This weekend, they were on X Factor. But today, the R&B singers are with us, talking about the tracks that inspired them and what it takes to become...
RAHA JIPE MWENYEWE
Mtunzi: Masanja Mwita (The Black Rider)
SEHEMU YA 1.
Ilikuwa ni mida ya asubuhi siku ya Jumatano, kiujumla hali ya hewa ilikuwa tulivu na ukimya ulitawala nyumbani kwa Arafa...
Tangia najiandaa kwenda job Lyrics za "Chiquitita" zinakatiza akilin mno
Chiquitita, tell me what's wrong
You're enchained by your own sorrow
In your eyes there is no hope for tomorrow
How I...
Kwa Wale Wenzangu wa Mikoni Ambao Hatujafanikiwa Kufikiwa na Hii Radio Station Nmefanikiwa Kupata Japo Recorded Version ya Ngoma Zinazopigwa kwa Sasa.
Tuenjoy
Si kazi yangu kujishughulisha na makosa ya jinai. nilishangaa kidogo chifu aliponiamuru nifuatie tatizo la upungufu wa almasi.
Isingekuwa kwa sura aliyoonesha nilitaka kumwambia apeleke malalamiko...
Kwa wale wapenzi wa riwaya karibuni sana. Nikiwa mdau wa mambo hizi nimeona nishee moja ya riwaya ambayo nimeikuta mahali lakini sijaitunga mimi jamani niwe mkweli. Nimeona si vibaya tuka share...
I want to know
Who ever told you I was letting go
Of the only joy that I have ever known
Girl, they're lying
Just look around
And all of the people that we used to know
Have just given up, they...
Fitna za kwenye hii series ni za kisomi sana sasa kwanini watawala wetu Tanzania yani CCM pamoja na serikali wasizitumie ili wabongo tuache mihemko ya kisiasa mana kiukweli saiv tunachukiana...
My mama said nothing would break me or lead me astray
Who would have guessed I'd let my mind drift so far away
You always said I was a dreamer now it's dead
I'm dreaming of things that's making my...
Tenzi za rohoni ndio kiungo kikubwa cha imani ya kikristo karibu madhehebu yote
Mwanamuziki wa Injili Rose Mhando anasauti inayofiti sana ikiwa umebahatika kumsikia akiimba wimbo mmojawapo was...
Ikiwa leo ni Kumbukumbu ya ' Mtaalam ' wa Sanaa za ' Mapigano ' duniani ( Martial Arts ) Hayati Bruce Lee naomba wale wenzangu na Mie ambao tulikuwa tukipenda mno Kuziangalia, Kuiga na kwenda...
Shumileta na Nsyuka ni muvi za karne zenye visa visivyochosha kutazama ,hakika ni muvi za karne bongo hawataweza kutengeneza muvi kama hizi teeeeeena.
Sultan Tamba na Musa Banzi rudini bhana...
Kama safari ya mapenzi, nataka kuianzisha mimi na wewe
Nimepita nimeona wengi, jua moyo umekuchangua wewe ×2
Nikiwa karibu na ua ridi, basi na mimi nitanukia
Kukuoa inanibidi, kwa kila hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.