Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
(verse 1:) Chakwake chakwako,chakwako cha kwake Pamoja wakati wote kama kidole na pete Sio lazima awe ndugu hata mtu wa mbali Ukiumia anaskia uchungu anajali kwa kila hali...
4 Reactions
10 Replies
11K Views
Christopher George Latore Wallace (anajulikana kama Biggie Smalls, jina la jambazi la kwenye filamu ya mwaka wa 1975 ya Let's Do It Again, "The Black Frank White", jina la mwuza madawa ya kulevya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Jua ni moto Tena ni mwangaza ya dunia Jua, maji, mwezi, nyota, upepo na udongo Ni uzima wa binadamu Nadina yooo Nadina yoyo Nadina yooo Nadina yoyo Tuombe mungu baba yoyo Atuhurumie...
7 Reactions
4 Replies
5K Views
Wanajukwaa leo ndio sikukuu ya Wapenda burudani wote ambapo wasanii mbalimbali wakiwemo manguli kadhaa kutoka Africa.. Kuna Jose Chameleon kutoka Uganda,Teknomiles na Yemi Alade kutoka...
3 Reactions
1K Replies
96K Views
Fiesta fursa kuanzia sokoni leo inafikia tamati katika viwanja vya CCM mjini Mtwara baada ya matamasha hayo kufanyika katika mikoa yote ya Tanzania bara kasoro Dsm. Msemaji wa wadhamini wenza wa...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Yawezekana Clouds Media Group yashinda hii vita baada ya taarifa kuwepo kuwa Tigo Fiesta Dar es salaam inaenda mpaka Asubuhi licha ya RC wa DSM kusema kuwa iishe saa 7 usiku ambayo iko ndani ya...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Kwanza naomba mods msiuunganishe huu uzi na uzi mwingine wowote. Maana kwa kufanya hivyo, ntashindwa kuzipata hizi nyimbo. Kuna kwaya fulani inaitwa Nioth Prophetical Singers, hawa wana Albam...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Waandaaji wa tamasha la kila mwaka la Fiesta, Clouds Media Group wamelazimika kuwarudisha wasanii wote waliotolewa kwenye 'list' ya watakaotumbuiza baada ya muda kuonekana kuwa kikwazo...
0 Reactions
127 Replies
13K Views
Wadau mnaojua haka kamchezo kanaendaje mtueleze baada hivi karibuni kumekuwepo kwa lawama nyingi sana kwa radio moja eti inanyonya ilikuwa inanyonya ni kweli kwamba kwingine kupo sawa au ni...
1 Reactions
1 Replies
702 Views
Yaani ushindi na mwadui mnatusumbua sana[emoji848][emoji848][emoji848]
0 Reactions
2 Replies
744 Views
Wimbo huo hapo juu ulioimbwa na kundi maarufu LA Abba kama sikosei ndio wimbo mzuri kuliko yote niliyowahi kuisikia duniani kama Kuna mwenye mashairi yake na maudhui auchambue kidogo roho yangu...
10 Reactions
70 Replies
9K Views
Hivi ni lini mtawafanya wateja wenu waelewe kuwa kuna juhudi mnafanya kurudisha local chanels kwenye kisimbuzi chenu? Au mmeona hakuna namna namna mnaweza kurudi tena tuambieni wateja wenu...
0 Reactions
12 Replies
591 Views
Wakuu, Mimi ni mdokezaji tu, ni kama mjumbe wa nyumba 10. Ni hivi, Wasafi Festival inakuja kuifuta kwenye Ramani FIESTA, Fiesta ambayo imelea wengi, imeibua wengi tangu mwaka 2000 wakati...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Waungwana mko salama? Aisee siamini nilichoshuhudia yani ni media yetu hii hii au kuna lengine limewakumba? CLOUDS FM imefikia hatua inatembea na magari mabarabarani kutangaza Fiesta?? Kweli...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Karibuni wana Jf, wenzangu.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
TUKIWA TUNAKARIBIA KUFUNGA MWAKA NIMEONA KUSHARE NANYIE WANA JAMVI KUHUSU ALBUM BORA ZA MWAKA HUU UPANDE WA HIP HOP NA R&B KWA UPANDE WANGU ALBUM NAZOSIKILIZA NZURI MDA WOTE BEERBOBGS&BENTLEY...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kitabu hiki kinaanza katika nchi ya Guinea ya Kihispania(Spanish Guinea) ambayo ni nchi ya Guinea ya sasa raia wawili wa Kifaransa wakiwa katika likizo nchini humo, ambapo walifanikiwa kumpata...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Habarini Wakuu! Eneo lote lilikuwa kimya. Ukimya ule hata ni panya angekuwa akitembea basi sauti yake ingesikika. Giza totoro lilikuwa limetawala. Ukungu mwepesi ulikuwa ukikimbia kwa mwendo wa...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Tupac Shakur Tupac Amaru Shakur (16 Juni 1971 - 13 Septemba 1996) alikuwa mwigizaji, mwanaharakati wa haki za binadamu, na pia mwanamuziki maarufu wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom