Habati ndugu wanajamvi.Nilikua mpenzi wa hili game enz hizo Likiwa 2015,2016 lakini kwa sasa hv nimeshindwa jinsi nnavoweza kulipata free.Play store linauzwa 19,999 hvyo mtu anaeweza kunielekeza...
Wachina wamshangaza Magufuli, wacheza ngoma ya kisukuma
Hii imetokea wakati wa Ufunguzi wa Chuo kikuu cha DSM wakati akifungua Maktaba kubwa na ya kisasa.
Kwenye maisha siku zote kuna kupanda na kushuka na ndivyo wanavyoombea wengi yatokee hayo kwa CLOUDS FM lakini tatizo Lina kuwa kwa wapinzani wake wako mbali sana kuwafikia CLOUDS .
E-FM wapo...
Habari wakuu
Hapa kanisani kwetu tumeanzisha kwaya ya vijana.Hivyo bado hatujapata jina linalofaa na linalovutia.
Je,kuna jina lolote ambalo unahisi tunaweza kulitumia kama jina la kwaya yetu...
Habari zenu Waungwana,
Nimeona Bora niseme chochote kumpongeza Linex. Amini usiamini tunapozungumzia International standard kwenye music LINEX ni next level.
Huyu jamaa angekuwa na kihelehele...
1.nuruel tumeagizwa upendo
2.rudi ya rogers lukas
3.wachuja nafaka nyimbo inaiywa wachujanafaka plz jamani zitupieni hapa na kama na kunamtu nae anatafuta nyimbo andike na mm ntamsaidia kuweka...
Hii ni tathmini Binafsi.
Tukianzia tangu sakata la ushoga lilipo anza kisha kukolezwa na kuibuka kwa Dudu baya na KONKI yake.Hisia nyepesi ilikua ni muendelezo wa vita Kati ya Makonda na Clouds...
One Incredible na Stereo(Chunda Bad) Jana walionyesha uwezo mdogo sana Wa kufanya show live,KATIKA tamasha lililofanyika Jana pale Nangwanda.
One alikuwa anafanya playback lakini pumzi inamkata...
Habari waungwana, nawasalimu nyote
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mm nimelitazama hili kama swali la kufunga mwaka kwa upande wa burudani na nikaamua kuli_solve kama kipindi kile cha...
Hali zenu ndugu zetu.?
Ni lini show za kibongo wataacha kuvamia mastage hawa watu wanofata?
1. Mabaunsa
2.Camera men
3.Wapambe
Nikicheck show za mbele stage inakua free na msanii anakua huru kuperform
Wakati Tigo Fiesta wakifuta tamasha la mwaka huu huko Dar baada ya kuzuiwa kutumia uwanja wa Leaders Club huko Mtwara tamasha la Wasafi limehudhuriwa na viongozi wa serikali akiwemo naibu Waziri...
Msaada wadau....... kuna nyimbo ya kisukuma huchezwa sana kwenye maharusi huku watu wakitikisa mabega huku wakishuka chini........
Moja maneno ninayo ya kumbuka ni pamoja na
"..........funyagi...
Kama mnavyofahamu, Leo ndio ile siku ambayo ikisubiriwa kwa hamu na Wanamtwara kama sio Tanzania kwa ujumla..
So wale wanyama wote wenye majina makubwamakubwa hapa bongo tayari washadrop Mtwara...
Habarini za mchana! (mods naomba thread hii isiunganishwe tafadhari)
Kwanza kabisa napenda kudeclear kuwa mimi ni mpenzi wa burudani na sio Fiesta au wasafi festival, hizi zote mimi nilikuwa...
Wala siwaonei huruma bali nasema mmestahili kutokewa na kilichowatokeeni leo na pengine hili sasa linaweza kuwafanyeni mjitafakari upya na muache kuwa na Kiherehere na Kujipendekeza wakati ukweli...
Wadau,
Nimefikiria biashara flani hivi kwamba iwe kama FUNCTION flani lakini ilete mafao, nimefikiria kuiita NYAMA CHOMA FESTIVAL ambayo nafikiria iweze kufanyika eneo lililo wazi hivi, pawepo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.