Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
. Hivi ndio jinsi ilivyoanguka ndege iliyokuwa imembeba mmiliki wa club mabingwa 2016/2017 (Leicester city) ndani ya helicopter hiyo pia kulikuwa na jumla ya watu 5 [emoji120][emoji120][emoji120]
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kutokana na bwana MICHUZI tunaambiwa kuwa hawa ndio ma supastar wa BONGO mimi kwa kweli i am still shocked na najua hii itakuwa controvesho lakini who cares kwa sababu za UJINGA WAKE bwana...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
http://www.youtube.com/watch?v=UeJ-87dj9lY
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mtunzi Nyemo Chilongani SEHEMU YA 01 Sijui nianze kusema nini ili nieleweke, sijui kama ninatakiwa kucheka au kulia kwani kwa kile kilichotokea, ningependa Mungu anisemehe tu. Kwa jina ninaitwa...
9 Reactions
185 Replies
21K Views
Habari wanajamvi. Nisiwe msemaji Sana niende moja kwa moja kwenye Mada. Naomba tushirikishane kutaja kolabo za wasanii wa muziki unaodhani mbele wakishirikiana kutoa kazi itashika Sana soko la...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Anayefahamu wimbo wenye maneno (nyie wote wake zangu mapenzi yangu kwenu ni sawa tupendane ndio heshima ya ndoa) naomba anijulishe band iliyoimba na jina la wimbo wenyewe maana naupenda na...
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Kwa mlioiona. Nipo namaliziamalizia season 2. iko poa sana hii series. Huyu Teresita ananikosha sana. nili somaga kitabu El Narco basi nikatokea kupenda stori za hawa madrug dealers, nikacheki...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Leo bhana kuku ameongea kabix baad ya jamaa flan kwenda kumchinja kuku akasem niachee::: jamaa akamwachia kwa uoga xana
0 Reactions
3 Replies
809 Views
Ninapita tu
0 Reactions
0 Replies
359 Views
Kwa wale wenye uhitaji wa kuongeza Followers instagram na Likes FB Download app ya kuongeza followers instagram na kuboost likes FB
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Audio: Brother K & Wapancras – Mrembo wa Buseresere - SYLI CLASSIC MUSIC
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nazani pesa zetu za vifurushi zinaenda tu especially cc wa azam maana tunalipia vifurushi lkn channel nyingi zimezuiliwa hadi sasa kwani tatzo ni nn na lini mwisho wake
0 Reactions
6 Replies
973 Views
Nianze kwa kusema wewe ni DJ unae heshimika sana.hapa jijiji DSM na.Tz kwa ujumla but kwa hili.nalizimika.kukumbusha ili usiendelee kujisahau. Ni hivi kila.Siku ya Jumamos Dj Masoud Masoud huwa...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wana JF yeyote mwenye movies & series ninauhitaji nazo kwa mabadilishano..mm pia ninayo stock ya movies za kutosha nipo pande za arusha
0 Reactions
1 Replies
549 Views
Audio: Rich Mavoko Ft Chemical – Sana - SYLI CLASSIC MUSIC
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna Tangazo linapiga sana wiki hii, Clauds fm, likitangaza Tamasha la Fiesta Musoma na Mwanza Manzoni wakati nasikiliza hili tangazo la Tigo Fiesta 2018 Musoma na mwanza, niliposikia mtangazaji...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Mambo zenu JF... Mwenye ako na series au movies za 2017 au 2018 please naomba....na animations pia[emoji7].... Napenda za horror....mystery...sci-fi...thriller and the like....
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Yaani kila sehemu tu unapigwa na nimetoka muda si mrefu Kujisaidia Haja Kubwa katika Choo cha Umma DJ kauweka tena. Sasa sijui baada labda ya Kuona nimeingia Chooni akaamua kuuweka kwa makusudi...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Hello everyone, I am from China and want to make some new friends!:D:p Twitter Beautiful new world
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habariii Moja ya burudani yangu kubwa ni ubunifu wa watu hasa wachoraji. Pamoja na kwamba kila mchoraji anaweza kufikisha ujumbe wake kwa namna tofauti lakini ndani yake mimi napata burudani sana...
6 Reactions
71 Replies
8K Views
Back
Top Bottom