Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Habari wote? Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri wa njia zipi zinaweza kutusaidia kufanikiwa katika muziki wa kizazi kipya. Katika ushauri ningependa wadau muanzie katika ngazi ya baada ya kuandaa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naam, Ni ile Bahati nasibu pekee na ya aina yake inayokuwezesha Mtanzania kuhamia MAREKANI, Bila zengwe wala longolongo. Itambulike, Hii ni Bahati nasibu, Inavyo vigezo na masharti maalumi vya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu,natumai weekend ilikuwa poa sana kwa upande wenu,kwangu ilikuwa ya kipekee msiniulize kwanini. Wangapi wanafatilia bongo starsearch muda huu,tutete mawili matatu kwa ujio mpya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanabodi habari zenu Ninayo furaha tena kurudi duniani toka gizani kwa siku 14. Nakumbuka ilikuwa siku ya ijumaa ya tarehe 6/10/2017 majira ya saa sita mchana nilipo kuwa mahakamani kusikiliza...
7 Reactions
34 Replies
5K Views
Nimekusogezea hapa Wimbo Mpya wa Kwake MWL. KAMUSI Akiwa Kashilikiana na Darassa pamoja na MB DOG Wimbo Unaitwa SIO SAWA BONYEZA HAPA KUSIKILIZA NEW AUDIO | MWL. KAMUSI Ft. DARASSA & MB DOG –...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mimi nahis, tukitaka maendeleo ya nchi kutoka nchin mwetu bila kutegemea misaada ya nje, inatubidi tupange mikakati iliyo bora, watoto wadogo huwa na vipaji vikubwa lakin mfumo wa elimu uliopo...
0 Reactions
3 Replies
526 Views
JE, UNATAKA KUPATA NAKALA YA JOHN WISSE (BROKEN CAMPUS RULE) BURE KABISA? Niambie nikuletee weekend hii, utanilipa nauli tu basi. Kwa wakazi wa Dar es salaam pekee!!! Nakala zipo 10 tu!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Download game la Fifa hapa Download game la Fifa19 hapa baada ya hapo fuata maelekezo ya kwenye video Youtube hii Ili ulifanye licheze
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wadau, wapenda burudani wenzangu, Naomba mwenye wiimbo wa PASHA Nisoo REMIX, ule ambao una sauti ya mdada katika kiitikio, aniwekee hapa Nitashukuru sana. Mods naomba Uzi wangu muuache kama...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau, Naomba nichue fursa hili kumshauri ndugu ya MO dewji kuwa nasi katika kupaza sauti. Serikali hili sio rafiki kwa kila mmoja lakini ni jambo njema kuwa na sisi katika matukio kama haya...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa wale wataalam wa Danc Hall hii kitu ni Club benga moja hatari sana,unabambia hadi asubuhi,Mond is very flexible anafeat popote pale hata kwenye mdumange
1 Reactions
54 Replies
8K Views
Kuna huu wimbo unaitwa KITABU aliimba DARASA na kumshirikisha Diamond Platnumz. Mimi mara ya kwanza kuusikiliza ilikuwa mwaka 2011 au 2012 kama sikosei. Sasa juzi nipitia vitu vyangu vya zamani...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Nina Amini music unanguvu kubwa zaidi ya risasi. Asiweke Lugha matusi, Kuna MTU anahitaji BREAK za kutosha ikibidi vingingi. Katika maisha Tunahitaji faraja na matumaini toka kwa BABA, Sio kauli...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jamaa wametoa album mpya mwaka huu inaitwa mobile orchestra. ni nzuri sana.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Henry Pope Henry Pope ni jina la kutaja uhusika wa katika kipindi cha televisheni cha Kimarekani, maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Stacy Keach. Katika mfululizo huu, alicheza...
1 Reactions
2 Replies
747 Views
SAMSUNG S6 EDGE PLUS ...... Ram 4GB Internal Memory 32GB Displacy Inch 5.7 Used for 4weeks Its Gold 4G support Haina tatizo lolote Ni mpya kabisaaaaaa 600,000tsh TUNAONGEA
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari,, Dancers wanawake wanatafutwa mkoa wa mbeya Vigezo; 1) Awe umri wa miaka 23_26 2) asiwe mnene 3) awe anaweza kutwerk na kudance Kama unahitaji nifate PM N.b hela ni nzuri [emoji184]
0 Reactions
5 Replies
797 Views
MTUNZI: George Iron SEHEMU YA KWANZA Safari nzima hakutaka kuzungumza na mtu yeyote hivyo alikuwa amepachika �earphone� masikioni mwake ili hata asiweze kusikiliza watu walikuwa...
5 Reactions
90 Replies
14K Views
Unaweza kusema hii ni moja ya faida ya utandawazi ambapo lugha, tamaduni hadi nyimbo za nchi moja huweza kuwafikia wengi katika mataifa mengine yenye tamaduni tofauti. Hali hii husababisha hata...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom