Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Haya sasa kuna wale wapenzi wa moves mbalimbali lakini wamekuwa wakipata utata kupata movie hizo sasa hapa unaweza kuomba na ku download movie yoyote unayohitaji kwa mtu kukupatia link ya movie ilipo
1 Reactions
9 Replies
67K Views
Sina lengo la kuharibu biashara yako au kukuanika lengo langu ni kukupa pongezi kwa ujasiria mali unaoufanya . Hakika unauza saana CD za zilizozitafsiri kwa Lugha ya kiswahili na sasa unaonekana...
2 Reactions
45 Replies
34K Views
Wale wapenzi wa muziki wa Congo tukutane kwa hili group WhatsApp tuweze kubadilishana uzoefu na nyimbo mbalimbali. CONGO MUSIC
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Audio: Nash MC Ft. Grace Matata - Sauti - SYLI CLASSIC MUSIC
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Muda wa kusubiri ujio wa album ya mnyama, lil wayne 'The carter V' umefikia ukomo.. Je ataweza kututeka tena mashabiki kama enzi zake alivyokua hot? Swali hili litapata jibu 21st September 2018...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Miaka ile kama hujapata sh 20 ya kuingia banda la video basi siku yako haijatimia..! Sie wengine tuliokuwa hatuna pesa hivyo tulikuwa tunaresolve kuchungulia kwenye madirisha or vitundu...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
I'm searching for the new song Malang of Coke Studio. Last night i watched it on TV, but can't find now. any one please
1 Reactions
0 Replies
762 Views
Tunaweza
0 Reactions
0 Replies
402 Views
Nautafuta sana ule wimbo wa Soundtrack katika kipindi cha Mwanadada Loveness Love DIVA wa Clouds Fm unaitwaje? Mwenye nao anitumie au aniTagg jina la wimbo niuDownload.
1 Reactions
3 Replies
861 Views
Hellow bosess. Kwa wale wapenzi wa raggae tukutana hapa tushirikishane 'Best rock raggae' LETS START Lucky dube - ..reggae in the bathroom Reggae in the bedroom Reggae everywhere Reggae in jail...
1 Reactions
1 Replies
664 Views
Habari zenu wana fb. TANGAZO KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM, JANA NILIDONDOSHA WALET NDANI INA DRIVING LICENCE MBILI (2), KITAMBULISHO CHA TAIFA PAMOJA NA KITAMBULISHO CHANGU CHA KAZI (TECHNICIAN)...
0 Reactions
0 Replies
560 Views
Mojawapo ya kazi zangu, zinazotarajiwa kutiririka hapa jukwaani hadi kufikia mwisho wake, kwa siku zitatoka sehemu mbili hadi inafikia tamati humu ndani. Karibuni
5 Reactions
78 Replies
16K Views
Uzi huu nitakuwa nakuwekea hadithi mbali mbali zinazopatikana katika kitabu cha Hadithi za Esopo hivyo kama ni mpenz wa hadithi itakuwa vyema kama ukiusubscribe mapema ili usipitwe na hadithi ata...
10 Reactions
54 Replies
19K Views
DJ Maphorisa & Porryland – Gqom Wave II. Blaqboy Music chief, DJ Maphorisa has released a follow up to his highly successful and well received Gqom Wave album. The new one is titled Gqom Wave II...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanandugu naomba mnisaidie. Wapi naweza kudowload hizi nyimbo za miaka ya 90, moja inaimbwa "Shambani,shambani,shambani shambanii mazao bora shambaaani. Tushike jembe shambaaani,wananchi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani kuna huu wimbo wa malaika, uliotungwa enzi hizo, malaika nakupenda malaika, wakenya eti wanadai ni wa kwao , wakati miriam makeba aliaknowledge kuwa wimbo huo ni wa tanzania, Inasemekana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mae Levibe. South African Hip Hop Artist, Mae returns with a new song titled Levibefollowing up the release of his previous single “Bulldozer” which dropped weeks back. Levibe is the latest from...
0 Reactions
0 Replies
631 Views
VERSE 1: Ulianza wewe.. wakaja waimbaji na wabana pua Wale mwewe.. Franga wawindaji wakatusua Kwakuwa.. wanajua mshikaji unaishi kwa miko Na zako itikadi.. ziko kimziki na sio mshiko Kama haileti...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Labda nianze tu kwa pongezi nyingi kwa uyu kijana hakika amekuja kuleta mapinduzi makubwa kwenye sekta ya burudani hususani muziki,ni kwamba uyu jamaa juzkati alifungua television yake na sasa pia...
1 Reactions
4 Replies
884 Views
Nimekuwa nikifuatilia huu mdahalo wa mange kimambi na dudubaya lakini nilichokiona ni kwamba mange kaishiwa points Mr konk anapangua Kama Ana bullet proof yaan hyu binti Leo kapata mpinzani...
3 Reactions
38 Replies
6K Views
Back
Top Bottom