Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Husikeni na somo tajwa hapo juu. Haya mashindando ambayo yalikuwa yanahusisha nchi tofauti za afrika mashariki yameishia wapi? Mashindano haya yalikuwa ni burudani murua na yalikuwa yanaonyesha...
0 Reactions
1 Replies
781 Views
ijumaa njema kwa wote tulio weza kuiona.ila leo katika kazi nimeona bora kuwasha tv ofisini nika weka tv moja,kwa hapa jijini ndio tv inayo weza kukupandisha na kukushusha katika tasinia za sanaa...
0 Reactions
8 Replies
974 Views
Wenye timu zenu kazi kwenu kwani sie wengine tunapenda mziki mzuri tu ila kind Kiba hii ni kind flop although nice song!! !
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Kazi yake ya bodaboda, uaminifu, ustaarabu na upole aliokuwa nao kwa wateja wake ndiyo hasa uliomfanya Joakim kuwa na wateja wengi sana katika eneo lake la kazi (Kijiwe kama wengi wanavyoita)...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Movie hii inaitwa Legend of the husband seeker ni hatariii. Kama mpo tayari niitupie wakuuu naamini hujawai kuiona, mzigo umevuja mastaa kibao wapo Ebitoke kacheza kama msaidizi mpya wa princess...
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Mambo yatakayo kufanya uwe VERIFIED instagram[emoji116]
0 Reactions
2 Replies
704 Views
Mara baada ya kutrend sana couple ya Ebitoke kumpenda Ben Pol na kisha kujiita "EbiPol" Sasa ni zamu ya Billnass & Nandy mara baada ya kuvuja kwa video yao wakiwa Falagha Mashabiki zao...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Yani wasanii wetu bongo nashindwa elewa sijui ni huku Tanzania au na mbele Maana MTU anakuja tutangazia kutolewa bikira [emoji15] [emoji15] Hebu sikia utumbo wa hiki ki Dada
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HABARI ZA HUMU CHECKI MOVIE KADHA WA KADHA KUTOKA CHANNEL YANGU YA YOUTUBE IENDAYO KWA JINA LA "BONGO SINEMA" HAPA CHINI LINK KADHALIKA ZENYE MOVIE KALI HAPA NDANI NA PIA NJE YA NCHI. KOMEDI...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nimejaribu kuu search huu wimbo wa Adili a. K. A HISABATI bila mafanikio So kama kuna mdau anao unaweza kushare nami hii Old school Bongo fleva, nakumbuka wimbo una beat kali sana
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Kwa utafiti wangu Mdogo nilioufanya nimegundua kuwa Wimbo "Swahiba" Ulioimbwa na Msanii Jebby ambaye kwa sasa ni marehemu aliomshirikisha Afande Sele unaweza kuwa ndiyo wimbo pekee Wa bongofleva...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Nini maana ya Hip hop?... Je misingi ya hip hop tunayo hapa Tz? naamini mwana HIPhop Ndio mtu pekee anayeweza kuichora au kuikosoa serikali pamoja na Sekta NYETI.. Naamin na nitaendelea...
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Angalia video hii utapenda tafsiri yake
3 Reactions
48 Replies
13K Views
Nilisoma kitabu kinaitwa 'To understand the purpose and power of men' nikakutana na vitu vingi vikanivutia nikaamua kujaribu nihakikishe, je ni kweli? Mambo niliyoyapata ni katika upande wa...
0 Reactions
0 Replies
653 Views
Kwa wanao kumbuka enzi hizooo, Hadithi ya Binti Chura Sehemu ya Kwanza http://hadithihadithi.podomatic.com/player/web/2006-11-03T09_58_33-08_00
1 Reactions
28 Replies
40K Views
Ni nzuri au lah, nataka niicjukue nianze kuitazama, nipeni ushauri!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ni kwa wale ambao wanamkubali Mfalme Chris Brown kwenye miondoko ya RnB, Pop, HipHop na Soul. Tutakuwa tunatupia nyimbo zake zile kali pamoja na Audio zake...... THE OLD & YOUNG CHRIS BROWN...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
0 Reactions
38 Replies
2K Views
Nimeanza kumfuatilia huyu jamaa tokea kitambo sana lakini, tangia namfahamu sijawahi kuona ameheribu kazi. Kuna wasanii wenzake kama Mario, Omarion, Young Lloyd na Bobby Valentino walivuma sana...
3 Reactions
35 Replies
9K Views
Wadau wa Bongo fleva ya kitambo Naitafuta sana hii nyimbo ya Bandago inaitwa Michano,,mwenye nayo version safi aiweke hapa mana huko net ipo ila inakwaruza sana. Pia mwenye bongo fleva yoyote ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom