Ndugu,
kama mjuavyo mwaka 2015 , 16 kulikua na action movies za maana zilizo jumuisha
john wick,
unlocked
u.n.c.l.e
spy
kingsman secret service
rogue nation na nyingine nyiingi kama hizo ila kwa...
Katika wimbo wake unaitwa "nasema nao"
Msanii ney wa mitego ameamua kumchana profesa lipumba asiwe king'ang'anizi ndani ya chama ambapo katika huo wimbo ney wa mitego anasema
"Usiwe...
Juzi ilikuwa siku ya vitabu duniani.Hivyo nafikiria mimi na wewe tutengeneze group letu la whatsapp la kusoma vitabu ambalo tutaliita "The Book Readers Forum[emoji432]."
Group letu litakuwa na...
Album imeachiwa tarehe 20 april 2018. Kama tayari umesha isikiliza karibu tufanye review ya hii album. Ni moja kati ya album kali nilizo sikiliza mwaka huu mpaka sasa hivi.
Track list:
My...
movie tayari imeanza kuonyeshwa kwenye majumba ya sinema duniani kote na inategemewa kuvunja rekodi ya box office ,tutegemee hata black panther itapitwa hapa mana hata black panther imo ndani yake...
Tokea nisikilize TBC Taifa sasa yapata mwezi marejeo ya vipindi vya Pwagu na Pwaguzi mchana saa saba kasoro robo na jioni saa kumi na mbili kasoro robo siku za jumatatu mpaka ijumaa, kiukweli...
Mzalendo ameachia ngoma nyingine inayokwenda kwa jina la Fyatua Bomu.
Najiuliza huyu jamaa ndio msanii pekee, au raia pekee alieamua kuongea hadharani bila uoga?
Wakuu heshima kwenu
Baada kocha mzambia Lwandamina kuondoka kinyemela leo tumepata taarifa kwamba timu ya Yanga imepata kocha Mpya kutoka ufaransa mwenye asili ya Kongo DRC.
Kwakuwa huyu kocha...
Habar wandug, naomba msaada kwa mwenye wimbo wa O-ten ft Hard Mad-Voice mail anitumie mana nimeutafuta sana mtandaon cjaupata.
najua JF ndio kila kitu
Sent from my HUAWEI Y625-U32 using...
habari za leo ,
filamu ya leo inahadithia maisha ya mama anaeteseka sana, anavyo kutana na familia yenye uwezo yakumsaidia anagundua na ku fufunua siri kubwa ya hio familia.
Huu muziki umekuja kwa kasi sana na kujizolea umaarufu Mkubwa kwenye media na baadhi ya wadau haswa vijana lakini huu mziki naliona kaburi lake 2018 kwa sababu zifuatazo
1. Wadau wakubwa wa muziki...
Moja ya album bora kabisa za Hip Hop mbaka sasa kwa mwaka 2018. Production on point & carefully structured. Cole na flow ya hatari ndani ya mzigo huu mpya huku akiwa Na maudhui ya hatari ikiwa...
Muziki wa Bongofleva tangu uanze miaka ya 90 mwishoni umefanikiwa kuibua majina mengi makubwa, lakini tofauti na ilivyo sasa kipindi huu muziki unaanza ilikuwa ili utoboe ni lazima uwe na album...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.