Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Angekuwepo rafiki nisingewaza, rafiki kipenzi ninayempenda x2 hayupo tena duniani swahiba,nliyempenda toka kumoyo swahiba.... Alikuwa ni kijana mwenzetu Jebby akishirikiana na afande sele miaka...
1 Reactions
1 Replies
7K Views
As a being I've always wished To be a majestic king One so strict If you mess, like a disturbed bee You end up with a sting. I've always envied David, It's a mystery how he managed To kill...
0 Reactions
1 Replies
394 Views
Igweeeeeee,Umuofia kwenu Mwangaluka wamayo na wababa,mwadila...olemhola,ulichiza Yego baba...yego kutiki Saita...saayu,haidomaa...haidori Shimboni shafo Wazee nimeona ni vema nianze kwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
MARY MARIAM (01) BEKA MFAUME Alizaliwa nje ya ndoa. Baba yake hakuwahi kumwona ingawa aliamini yuko hai. Alisikia tu akiambiwa baba yake ni Mwarabu. Aliamini hivyo kwa sababu hata damu yake...
1 Reactions
30 Replies
14K Views
habari wana jamvi, kama kichwa kilivojieleza hapo.. napenda kujua jina la wimbo mmoja ulinivutia sana nikiwa mdogo ila nimesahau jina lake. moja ya mistari yake ilikua ikiimbwa hivi "pilipili ya...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Good news tuliyokua tukiisubiri gunners hatimae imekua mzee kinganganizi babu wenger aamua kustep down at the end of season. Hatuna cha kukumbuka zaidi ya stress zako Arsene Wenger to leave...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Wadau na wapenzi wa movies especially Hollywood movies nimeona ni vizuri nikashare na nyie my 25 sio mbaya nawe ukacomment au ukamention za kwako, vigezo nilivyotumia kupata hii top 25 list ni...
2 Reactions
62 Replies
11K Views
Sehemu ya kwanza °01° Asubuhi na mapema foru anapoamka na kufungua macho yake anaangaza huku na kule anagundua sehemu alipokua amelala si mahala pake na anapoinuka anashindwa kusimama na...
6 Reactions
54 Replies
8K Views
Ni wimbo wa kwaya japo sijui uliimbwa na nani ila unaitwa " Ninavumilia tu " wa RC Mwenye nao naomba aniwekee hapa jukwaani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati natoka nilimuona Mama yangu akiweka kitu chini ya kiti cha gari, nilishangaa kidogo kwani sikujua sababu yake. Hakuniona, nilisimama kwa muda kumuangalia, alifunga mlango wa gari...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello guys I believe hiz station zikiwa zinaanza mwanzishaji alikuwa na ndoto ya kuteka soko la afrika mashariki kwenye swala la matangazo ya kibiashara kwenye tv , which means kampuni za uganda...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
chorus... * tumeipenda wenyeweee na wavimbe wapasukeeee tuchaguane tu milele.... wacha waisome nambaaa eeeeh? chama chetu mbele kwa mbeleeeee... waaacheni waaandamaneeeeer hapa...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Huu wimbo inasemekana ulimletea sana matatizo mtunzi wake mzee king kikii kutoka kwa utawala wa dikteta mobutu ambao uliuchukulia wimbo huu kama dongo kwa utawala huu kutokana na kuwa kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Movie ya Black panther. Imetengenzwa kwa thamani ya $200m. Sawa na Billion 440 za kitanzania. Mpaka leo ina faida tuu ya 2.2245 trillioni. Tangu imetoka. Ambayo ni makusanyo ya kodi kwa Tanzania...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kusoma full stori bonyeza hapa[emoji116][emoji116] www.andrewsoftwaretz.com
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu wadau wa JF. Ninachelea kusema kuwa ninafurahi sana kuona vijana wenzangu wa kitanzania hasa waandishi wa vitabu vya fasihi kwa lugha ya kiswahili. Mnamo 15/4/2018 watanzania...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Msaada jamani nimeitafuta sana bila mafanikio, Mara ya kwanza kuisikia na kuipenda ilikuwa ktk movie ya Anold Schwarzenegger Predator.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Series mpya ya kiswahili! ina hadithia mahusiano ya binti Hariri na mchumba wake Aaron. Familia yake Aaron hawamtaki Hariri na wamempangia msichana mwingine wa kuoa! checki hapa kupata episode...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HABARI ZA JIONI FILAMU MPYA YA KIBONGO! TAZAMA UONE MKE WA HATARI SANA! :
0 Reactions
40 Replies
21K Views
HABARI ZA LEO ANGALIA FILAMU MPYA YA MZEE MAJUTO. VICHEKESHO!
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom