Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
INASIKITISHA LAKINI NI FUNZO PIA Umemuomba akutumie picha ya utupu. Akakuambia siwezi nauheshimu mwili wangu siwezi kufanya hicho kitu. Ukambembeleza na kumsihi kwa maneno matamu yenye ulaghai...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
UBETI WA KWANZA Switch s2kizzy baby Habari oo habari habari habari habari oo habari oo Habari habari habari habari ooo Mpenzi ni kama una demu mmoja Wapenzi ni kama una demu wawili Kucheat...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi. leo nimewaletea tv series kali za muda wote na ratings zake. 1. Planet earth II ( 2016) : ratings 9.5 2. Band of brothers (2001) : ratings 9.5 3. Planet earth (2006) ...
4 Reactions
3 Replies
3K Views
Nayaandika haya kwa uchunguzi sana kwa jinsi hawa waandaaji wa show ya Werrason Noel Ngiama Makanda aliyekuja Dar wiki mbili zilizopita. Kwanza walisema show itachelewa kwa sababu Werrason...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wakuu kwa wale wapenzi wa hizi mambo kutoka king'amuzi pendwa cha DSTV...week hii ni week ya mwisho yaani Final na walioingia final ni 1.Tobi 2.Miracle 3.Cecee 4.Alex 5.Nina Je unampigia nani...
1 Reactions
4 Replies
703 Views
Mtanisamehe lakini najua wengi wenu humu JF mlikuwa Joni visomi na najua pia kuwa ambao hawakusoma mlikuwa mabaharia,na of course wengi wenu mnatokea mikoani na Dar mekuja miaka 1- iliyopita...
0 Reactions
186 Replies
47K Views
Heri ya mwaka mpya wajameni. Naomba kuuliza, nani waanzilishi wa Bongo HipHop/Flava? Mimi nakumbuka mara ya kwanza nasikia tapes za Saleh Jabri akirap juu ya beats za kama Vanilla Ice etc...
2 Reactions
42 Replies
13K Views
(8) MESHAMAZING Nitulize official Video4K - YouTube Hii ni video ya mshindi wa super nyota 2017 Mbeya anayeitwa Meshamazing inayokwenda kwa jina la NITULIZE kama ilivyoongozwa na muongozaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baba mzazi wa mwanamuziki Jay Moe Famous, Mzee Mchopanga amefariki dunia mchana huu. Mzee Mohammed Hamis Mchopanga 1948-2018 Innah Lillah wa innah ilayh rajiun
2 Reactions
84 Replies
10K Views
Habari wana JF leo nimeona nitoe ya moyoni mwangu kuhusu Bongo Movie. Kumekua na matusi mengi na malalamiko mengi sana kuwa Bongo Movie hamna kitu na watu hawapendi kutazama Bongo movie. Mm...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
1. Ousofia in London 2. Borat 3. Don't mess with Zohan 4. The Dictator 6. Problem Child 7. Friday ( Ice Cube and Chris Turker) 8. Joshua Tree 9. Nutty Professor all 10. Mo money
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Bwana mdogo wangu Aslay, ni wazi kuwa unajitahidi sana kufanya kazi nzuri kimuziki na unashika nafasi mbalimbali za music chat hapa nchini. Tungo zako na Matumizi ya sauti yako yanaonyesha ni...
5 Reactions
38 Replies
5K Views
Niadje ndugu unaesoma Uzi huu kwa wakati huu?.. Wakorea wanasifika sana kwa utunzi mzuri wa story ktk season zao. Je ni season gani kali uliyowahi kuitazama ukaipenda? Tutajie jina la season...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Maneno aliyoandika msanii yanavyotafsirika kila siku na viongozi wetu awa Africa. Verse 1 yeah napiga goti natubu kwa mungu wangu na jamii nimefanya mambo mengi kwa kutumia cheo naamini cheo...
2 Reactions
7 Replies
10K Views
nina series kadhaa ambazo nime download kuanzia jumatatu mpaka hii leo. najiuliza nianze na series ipi katika hizi. kama kuna ambazo umeziona ungependekeza nianze na ipi ambayo nikianza tu episode...
0 Reactions
3 Replies
920 Views
Nimemepa madrid na sevilaa imekula kwangu alfu tano yangu, huzuni sana
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Wakuu, Wakati Radio EFM wanazindua radio yao walipita sana mitaani kujitangaza wakiweka kama matamasha kwenye viwanja mbalimbali na wasanii wakatumbuiza. Mojawapo ya wimbo uliotumika sana...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wapenzi wa muziki wa dansi, uwe wa kitanzania(kama vile 'zilipendwa' au za sasa kama vile zao wanatwanga, stono musica, au 'timu ya taifa'), kikongo(rhumba na soukous) tuna uhaba mkubwa wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom