Leo asubuhi nimejionea wakati nacheki Wasafi tv baada ya kuiona nyimbo ya Abdu kiba ikipigwa kwenye channel hiyo mpya iliyozinduliwa mapema asubuhi hii
Hili ni bonge la kazi, hii filamu imeakisi kabisa maisha halisi ya watanzania, imechezwa na wasanii wa muziki akiwemo fid q, salu T, one the incredible, wakazi, songa, lamar na wengine wengi, ipo...
1.Kasomeni mambo ya filamu: Dunia ya sasa inahitaji watu wenye akili na ubunifu kwenye filamu si mambo ya kuigiza uchawi/ulinzi/magari ya kifahari/kuvaa nguo mpya katika kila filamu.
2. Burudani...
Why I care About Hip Hop
"I decided I wanted to be a rapper in 1994. I was sitting in a prison cell in Upstate New York and made the decision that upon my release I would try my hand at it as a...
Habari zenu wakuu,
nimekua mpenzi wa bongo movies kwa muda mrefu tu. nimependa sana kazi ya uigizaji na ninaamini kuwa naweza. naitaji msaada wenu katika kukikomboa kipaji changu na cha taifa...
I was looking for a father he was gone,
I hung around with the thugs and even though they sold drugs,
They showed a young brother love,
I moved out and started really hanging,
I needed money of...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Yule mkali wa ngoma ya waya kutoka weus john makin leo jpili kaachia ngoma moja hatari sana ambayo kamshirikisha mkali kutoka lagos david obio aka davido...
Hii sasa kali kweli kweli! wazazi wanachofanya pale binti yao anapochelewa kuolewa
Wazazi wengine wanaandika MBWA?MKALI kwenye geti lao kama binti wao ana miaka 18..
Binti akifika miaka 30 na...
Siku hizi mashabiki na wapenzi wa nyimbo za wasanii tofauti tofauti nchini na hata nchi za ughaibuni kumekuwa na tabia ya kupendelea kutizama video zaidi kuliko kusikia maneno yanayoimbwa katika...
Artist = NASH MC
song = ZIMA
lyrics writer = snipa
Hiyo mistari inayoitwa taarifa ya Habari oya ZIMA !
Ile ya ku unga unga mibovu ya kizushi sijui nini ''Gorge anarudi Bush ZIMA !''...
Salute
Naomba nisaidie nipate soundtrack ya muvi hizi hapa chin..
Beyonce: President daughter 1-4. Naomba mnipatie Soundtrack zote zilizomo humu na nyimbo zinazoimbwa hasa ile inayoanza kuimba...
HADITHI FUPI:
Meriana ni msichana mrembo na mwenye mafanikio makubwa Kwa nje.. kuna siku alitamani kula mayai akaamua kwenda Mtaani kwao nyuma kidogo...Malongwe Kwa mzee Kanyimbi amabae ni...
Njoo uongeze Subscriber, Views hapa.
Sheria za uzi huu
- Subscribe Channel yangu kwa kubofya [emoji117] link hii JvS - Copy & Paste na mimi nita Subscribe kwenye Channel yako.
- Weka Link ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.