Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Mzee yusuph mamb yamemfika shingoni na kuahidi analipua Bomu baada ya siku 3
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Maneno ya ommy akizungumzia nyimbo yake mpya
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni zaidi ya wiki sasa sioni StarTV wala kusikia Radio Free Africa-RFA au Kiss FM toka Mwanza. Nini kimewasibu?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Achana na jamaa anaependa kujiita King,,haja Fanya kitu chochote kwenye Rap Game ya Bongo,,but kwa Ngosha,Bandidu,Jasiri.,mwanamalundi..ndio Real MC kwenye Game,,size yake wengi wapo hoi kwa...
10 Reactions
387 Replies
48K Views
Wakuu, Hii mi traditional african bare knuckle fight ambayo inafanyika south africa. Aisee watu wanadundwa hadi wanajinyea. Hebu jioneee
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Habari wanajamvii. Ndugu zangu mlioajiriwa poleni hii mvua na kazi unatakiwa kuandika jina kwenye attendence kweli poleni sana na kamshara kamegomeshwa kweli tunaisoma number...! Sisi ndugu...
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Leo naumwa ugonjwa usiojulikana na umesababishwa na mtu asiejulikana .maombi yenu Tafadhali nimeshindwa kuamka kabisa. Nimekutana na hii movie kwenye vitu vyangu niliicheki kitambo nimeona...
5 Reactions
75 Replies
7K Views
Wana JF Eti ule wimbo una sema "sijui usilete stori zako za kubet..... " Then kuna sehem ansema tena "majeruhi kwenye ajari anaomba selfie" Unaitwaje huwo wimbo Mwenye kujua Adrop comment Ahsantee
0 Reactions
0 Replies
625 Views
Wakuu,natafuta wimbo huyu "chilambo cha vene" Umeimbwa na Tongolanga,
0 Reactions
2 Replies
3K Views
WCB
Harmonize ft Sarkodie - DM Chick [emoji116]
0 Reactions
0 Replies
703 Views
IMBANAMIMI AFRICA 2018. Kama una unakipaji cha muziki na unataka kuwa kama, au kuimba na msanii yeyote superstar TANZANIA na AFRICA unaweza kutumia simu yako ya mkononi kujirecord video au audio...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Watanzania habari ya Muda huu. Naomba Msaada juu ya Hili suala. Miaka ya 2000 hivi kulikuwa na Filamu za Kitanzania Zilizokuwa zikionyeshwa TBC, wakati huo Nadhani ilikuwa TVT. Kulikuwa na...
1 Reactions
3 Replies
913 Views
Bila kubisha naamini Africa ni bara lenye wanawake wazuri sana japokuwa linasumbuliwa na matatizo mbalimbali. Hii ni orodha ya nchi zinazoongoza kwa wanawake wenye mwonekano mzuri zaidi. 10...
1 Reactions
82 Replies
97K Views
Hakuna ubishi kuwa Alli Kiba ni mwanamziki aliyekulia ktk maadili ya imani ya kiislamu ambayo kimsingi kwa mujibi wa imani hiyo mziki ni haramu na hili Ali Kiba analijua kwa7bu amekaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanaume analala chumba tofauti mwenza wake wataalam wanasema mwanaume inapendeza ukitaka mzigo unakwenda unagonga unarud
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sisi wengine ni wapenzi wa Mziki japo mara moja au mbili kwa juma. Zamani nilikuwa naenda club/bar kuanzia Ijumaa lakini sasa nimepunguza sana. Pengine mara moja au mbili kwa wiki. Na kwa hakika...
7 Reactions
70 Replies
10K Views
Asiye na mwana aeleke jiwe ndivyo ninavyoanza kusema kuhusu mechi ya leo kati ya watani wa jadi. Timu zote mbili zisibweteke kwani zina nafasi sawa yeyote anaweza kuwa mshindi. Likini yule...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Ktk moja ya nyinmbo za marehemu Mbarak wa Morogoro, anayataja makundi yaliyokwenda kwenye Expo70, Moja ya kundi hilo ni wanasanaa wa Chuo kikuu, akimaanisha chuo kikuu cha Dar es Salaam. Naomba...
1 Reactions
0 Replies
881 Views
SHAIRI UTANI WA JADI YANGA NA SIMBA Leo siku imefika Siku tuliyoitaka Mwali wetu atatoka Bikira tutamtoa Ukweli ninatamka Malengo tuliyaweka Kwa mwali kumualika Tupate jifaidia Msimbazi...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom