Kuna movie moja hivi inaitwa Apocalypto,.. Hii movie, ni moja Kati ya movie ambayo hainichoshi kuiangalia tena na tena... Huyu jamaa Star wa hii movie nimemkubali saaana, ananishawishi niendelee...
habari zenu ndugu zangu
samahani naomba kuuliza kwa wale wataalamu wa kupakia(upload) nyimbo mtandaon
kua nime pakia nyimbo yangu ktk hizi free sites kama vile audiomack/bandcamp nk
lakini...
.
.
Na SANGUJOSEPH
.
.
Kuna KITU MASHABIKI Na wapenzi wa MUZIKI tunapaswa tukifahamu SANA katika muziki WETU SHABIKI Au Team za wasanii now days Zina nafasi kubwa ya kuifanya nYimbo ya kawaida...
Huu ni wimbo wa bongofleva ambao nilitokea kuupenda sana ila umenitoka kidogo, una mashairi haya; Nilimfukuza mpenz wangu eti kwa sababu ya bintii, nilimfukuza wangu moyo eti kwa sababu ya bintii...
Masada wakuu kwa anaefaham audio player kwenye Android ambayo itakua Ina cheza miziki iliyoko kwenye play list Bila kuweka pause (fade) kutoka miziki mmoja kwenda mwingine
Yani inaiunganisha...
Wakuu leoo tukumbushane kuhusu movie za nje ambazo baadhi huwa inspire watazamaji na nyingne n real dramaa..
Mimi naanza na Escape from sorbibor.......kuna Missing in action...
SIMULIZI: ANTI EZEKIEL
MTUNZI: George Iron Mosenya
SEHEMU YA KWANZA
Marashi yaliyopuliziwa na mtu ambaye nilikuwa sijauona
uso wake wala kujua yu umbali kiasi gani kutoka katika kiti...
Kila nikisikikiliza zilipendwa ya Mond na seduce me ya Kiba then nkihusianisha na comments za watu mtandaoni nashindwa kuelewa kama me nimedownlod nyimbo tofaut na zenu au sikio langu limepinda...
Nimeisikiliza wimbo mpya wa Roma mkatoliki Leo
Nimependa pale anaposema ""Mungu wa daudi mungu wa Paulo na mungu wa yohana""""
Hio sentensi hapo naona inamajibu karibu yote ya kutekwa.
Rapa Roma...
Chuki,wivu na kutokubali kushindwa kunaelekea kuliangamiza taifa hili kimuziki.Sasa kazi mbovu kabisa zinapewa promo kiasi cha kuharibu jina na muziki wa Tanzania.
Hivi sasa tumefikia hatua ya...
Ngoma za mbele ziliniteka kwa mda kidogo Kendrick na Jay Z new albums zime make most of my playlist. But huu mwezi bana zimetoka hits balaaa kila ngoma jiwe So far hizi ngoma haiewezi pita day...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.