Alianza mziki na Hiphop Diamond platnumz alisikika zaidi na track yake ya Jisachi ambayo ilikua nzuri tu,ila ktk harakati za kutafuta pessa zaidi akaishia kubana pua.
Platnumz kwenye hii remix ya...
Since first hit yake hadi sasa bill nass amekua akitoa nyimbo ambazo ukiwa umechoka na mawazo ukizisikiliza tu basi unajisikia fresh ghafla
hii track yake ya sina jambo ni kali sana kama track...
Mambo zenu wakubwa na wadogo.
Naomba mwenye kufahamu nitaipataje link ya kuidownload hii series anipatie tafadhari. Nilikuwa najaribu kuipata kupitia youtube inagoma.
Nataka kudownload Season 2...
yes hebu tukutane hapa kupeana zile nyimbo kali za country baadhi ni kama
lady antebellum-need you now
Sam hunt-take your time
Keith urban-blue ain't your colour
bila kusahau collections za...
Elias Banyenza ndio jina alilopewa na wazazi wake, lakini unafahamika na wengi kwa jina la Banye. Anapenda kuimba na RnB ndio muziki ana unaoupenda zaidi.
Banye alianza kuimba akiwa Sunday...
On my personal view B.I.G alikuwa mkali sana kwenye flows and lyrically kuanzia punchlines, similies, metaphors, multis etc, Ukisikiliza nyimbo yake kama ya big poppa utajua nchomaanisha, But...
Kutokana na ugeni wangu katika tahasusi ya kupakua nyimbo naomba mnisaidie njia rahisi ya kupata album(diwani) ya Jay Z inayoitwa 4:44......
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisoma vizur historia za makocha wa epl haswa wale wakubwa wote
1. Mourinho ana mke wake mzur na watoto wake wa3 wale na juz juz tu kapata mjukuu
2. Benitez ana mke wake na amedumu nae kwa zaid...
Rasta anasema:
"I went to a party the other night,
They said it's gonna be right there.
But when we were at the party I was dis appointed.
All we could hear was their crackadoo,
All...
Diamond kangusha ngoma mpya akiwa ameshirikishwa na fidq na Rayvany
Humo ndani wote wamechana huku diamond akizungumzia baadhi ya story zinazo trend kitaani juu yake
Unaweza kuusiliza hapa...
Aisee Fid Q ni King wa Hip Hop Bongo lakini kwenye hii ngoma ya so fresh remix mtoto wa Tandale, Chibu a.k.a Simba kaimba.
"Si walitaka kiti nimewapa mpaka kitanda wa lale" waambie wachukue na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.