"
Ai Se Eu Te Pego"
Nossa, nossa
Assim você me mata
Ai se eu te pego, ai ai se eu te pego
Delícia, delícia
Assim você me mata
Ai se eu te pego, ai ai se eu te pego
Sábado na balada
A galera...
Ivi lucky dube na bob marley nani alikua mkali na alitamba sana enzi za muziki wake, Binafsi Wakati nakua nilikua namsikiliza sana lucky dube, lakini walionitangulia wanasema hajawahi tokea kama...
Jamaa ni mkali na anaijua kazi yake, ila huo wimbo ni kati ya chache ninazozikubali, Mungu amsaidie pamoja na skendo zake za uzinzi.
Unaweza kutaja na wewe ni wimbo gani unaukubali toka kwake...
Najua humu wengi ni wapenzi wa series au movie toka nje hasa marekani na wakorea, hivi umeshawahi kutokewa na kitu in normal lyf ukadhan ni real then baadae ukaja kukigundua kumbe kilitokea kwenye...
pichani akiwa na mama anayejua kuigiza mama kawele unazani itakuwa movie ya aina gani cant wait itakuwa bonge la movie
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa ni Under-ground lakini anatisha balaa.
Hii ndiyo sauti yake halisi na anaimba Mubashara bila chenga.
Huu ndiyo SOUL MUSIC ambayo wasanii wengi weusi wa Marekani hawawezi kuimba tena...
Mwigizaji na mchekeshaji maarufu Will Smith amepata dili la kuigiza maisha ya raisi mstaafu wa Marekani Hussein Barack Obama baada ya kupata ruhusa maalumu kutoka kwa raising huyo.
thA God thA...
Ni nyimbo ipi uliipenda sana zamani hizo na ungependa uisikilize tena?
Kuna ile ya UVC inaitwa usinicheke,dah nimeitafuta bila mafanikio
Tutiririke wakuu
OLD IS GOOD ALL THE TIME
siukumbuki jina lakini aliimba linex. anasema kuwa walikubalina na mpenzi wake kuwa aondoke aende akatafute pesa akipata atarudi kumwoa. lakini aliporudi akakuta mwanamke ameolewa au ana mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.