Guys,
Naomba mnipendekezee jina zuri la band ya Muziki ambayo itakuwa ikitumbuiza kwenye 5 Star Hotels tu. Wanabendi ni wazungu na waafrika wa mataifa ya nje na wabongo kidogo...mimi nikiwa...
1. wapenzi wengi wamekosa umahiri, umahiri wa kutunza siri,
lakini wewe u mzuri, umenitunzia siri,
nimekukosea mengi lakini umeyafanya mazuri,
u mzuri wewe uliye msiri.
2...
Luis Fonsi na Daddy Yankee wimbo wao wa Despacito umeweka record ya kuwa wimbo wa kwanza kutazamwa zaidi Youtube kwa kupata viewer billion 3 (duniani makadirio tupo billioni 7).
Kwa kupitia...
Habari,
kama wewe ni masanii wa music wa aina yoyoye na unataka kufanya video nzuri kwa gharama ndogo kabisa ya sawa na Bure au bure kabisa wahi ofa hii kutoka kampuni ya Moo Entertainment...
Habar zenu wakubwa
Kama title inavyo jieleza nilikua naomba msaada kwa mwenye kujua program jina na jinsi ya kuipata program inayo tumika kitengenezea extended songs.
Ni hilo tu
Msaada please
Hakika nimekuwa shabiki wa hili kundi la muziki wanajiita WEUSI ila hapo kwenye huu wimbo wenu mpya nimegundua mna safari ndefu kuwafikia wanamuziki wenye majina duniani kwakuwa sio wabunifu nyie...
Kwa mtazamo wangu huyu jamaa alichangia kwa kiasi kikubwa ktk fani ya bongo fleva. Bahati mbaya haongelewi sana pamoja na kuwatengenezea 'mental' wasanii wengi wa mwanzo mwanzo wa muziki huu kabla...
Wakuu nimejibebisha kwa wife siku nzima na beach out 2day bt nimejaribu kumuomba tutoke uck kuangalia game kaniambia sna kizunguzungu hatuwez kutoka wala cwez kwenda PLz nipeni app nitakazoona...
Hanscana director mzuri sana na amejizoelea sifa kubwa kutokana na video zako nzuri.
Ila leo kwakweli nakukosoa waziwazi kwanini video zako nyingi unapenda sana kuweka wadada wakicheza huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.