wadau wa ushairi, wanafunzi wa sanaa, wapenda mashairi
ama wadau wa sanaa,shairi la mtindo huru hilo hapo chini,
kazi kwako kujisomea na kujua ujumbe uliofichwa humo ndani.
poem title: Please...
NEW! from martin white
Atoa kazi mpya yenye mtizamo wa kuinua upya soko la filamu TANZANIA kwa wale wapenzi wa serious comedy usiache kuitazama
Ili kuitazama kazi mpya hii kutoka kwake martin...
listen,do me a favour go in my inner room bring me a shivel and hoe for I swear eneekandasaliniii I'm going to Burry you alive ...
Enzi za milenia mpya kuanzaanza hizi ndio zilikuwa movie...
Likizo imeanza jamaniii kwa sisi wageni wa dar jamaniii mtujuze sehemu nzuri za starehe. Maana huko ndo kuna masponsers..[emoji12] [emoji12] [emoji12] kabla hatujarudi likizo home......tumalize...
NAKUMBUKA LYRICS
ARTIST : 12CODE (PUNCH RIDER MC)
Verse one
Nakumbuka
First time nadata na game//.............
As a rapper,mc/negro ma nick name//..............
Enzi ya SHAGGY na MR. BOMBASTIC...
Haya haya,kwa wale wote ambao mnapenda muziki basi kuna redio mpya hapa Dar,ukiachilia 103.3 ambayo wanapiga ngoma bila matangazo tena ngoma kali,basi ipo hii nyingine 98.5 ni hatari ,maana...
Kuna wimbo mwanangu wa CHEKECHEA akiimba najisikia vibaya sana na huwa nashindwa kumkataza na huwa naondoka hapo au namtuma pipi au biskuti ili asiuimbe kwa sababu ni wimbo wa uwongo ila ngoja...
BREAKING NEWS:
Watu wa wili wenye hasira kali mkoani Tabora wamechoma tanuri kubwa la matofali mpaka limeiva...
_Kwa taarifa zaidi ngoja nifatilie....._...
Wadau wa filamu salaam, naomba kujuzwa yule Sokwe na wale wadudu wengine waliotumika kwenye sinema hiyo ni wa kubuni (artificial) au ni wa asili (original)?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.