Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
namkumbuka huyu ni moja ya wanamuziki wa muda mrefu wa bongo fleva na kibao chake cha mwisho ambacho mpaka leo mimi hukisikiliza ni kibao Kama Japenga. na huko kuna kipande kimoja anasema...
0 Reactions
60 Replies
10K Views
Wapenzi salaam, Katika kile kinachoonekana ni kukosa ubunifu, Wasafi Recorda wameonesha kuwa very unprofessional kwa kuchukua kazi ya Mkito katika mitandao yao ya kijamii, kuondoa logo na kuweka...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Mtunzi ( Author) Namba Moja Ulimwenguni Wa Novel Za Conspiracy Hatimaye Amekuja Na Novel Mpya Yenye Siri Kuu, Vitu Ambavyo Huwezi Kuvipata Sehemu Yeyote Ile Ila Ndani Ya Hichi Kitabu Maridadi...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Kete ya JB MPIANA La Danse Du Cheval A.K.A mpunda Kete ya FERRE GOLA Tchekele Pete Best Male West Africa Fuse ODG Feat Itz Tiffany, Donae – Azonto, Ghana Molare – Coupé Decalé, Côte...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ujumbe unaeleweka. Kuna miziki kairudia Saida lakin nimetafuta hiyo album kwa bukoba sipat. Anayemjua wakala aniambie.
0 Reactions
0 Replies
428 Views
Ni nyimbo flani hv I think ni ya south Africa wanaimba (Selebona,Selebona,Selebona) plz wakuu kwa anaejua walioimba huu wimbo Msaada Tafadhal hii nymbo ni ya kitambo kidogo Sent using Jamii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
HAJARI ZENU WANA JAMVI? Msaada kidogo, kuna nyimbo fulani za kipindi cha miaka 90 huko , ninazitafuta ila nime sahau majina yake, kama utaweza tambua lyrics nitakazo weka nitashukuru kama...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Kwako Mary, Najua haupo humu, na sitaki ujue.. Najua ninaweza kukueleza haya ila moyo unasita. Moyo unagoma, naona ugumu mno kukueleza Umenikosea, nimekukosea tumekoseana. Umeomba msamaha...
0 Reactions
12 Replies
987 Views
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni wimbo mpya wa Mrisho Mpoto; nimeusikiliza kwa makini kwani ameuimba kwa lugha tata sana na sio rahisi kujua aliakuwa anamaanisha nini kwa haraka haraka, Baada ya kuusikiliza na kutafakari...
2 Reactions
23 Replies
9K Views
Hii Movie Inaelezea Jinsi London Itakavyo Kuja Kufall Inaonyesha Katika King'amuz cha Star time Chanell Ya Tabibu 116
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Wadau, Sasa tunaongeza chaneli mpya ya michezo kwa saa 24 kila siku itakayoitwa Azam Sports 2 na kuzinduliwa rasmi tarehe 12 Agosti mwaka huu. Kwa ongezeko hilo, kifurushi cha Azam Pure cha...
3 Reactions
27 Replies
14K Views
Sabbath vs Sunday
0 Reactions
0 Replies
599 Views
UPEPO WA USIKU-18 BONIFACE BIRAGE Mama Shully alijishauri sana kati ya kutopiga simu au kupiga kituo cha polisi.Tiyari ameshakuwa mshirika namba moja katikati ya mauaji makuu matano nyumbani...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Hallo, Kwa wale wanaopenda kupata taarifa ya kisiasa, michezo na vinginevyo, basi kuna chanel mya ya youtube inayeitwa Dakika 3 ambayo inatoa taarifa kwa dakika tatu. Hii ni halka ya kwanza.
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari wana jamvi kuna wimbo wa mwijuma muumini unaimwa "MAPENZI GANI YA SAFARINI , YA KUDANGANYANA MAMA WEWE UNAKWENDA SONGEA BWANA ANAKWENDA MTWARA" Tafadhalini naupenda sana nisaidieni wana jamvi.
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wadau naomba mnisaidie films nzuri ya kingeleza jina la hiyo film niitafute Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Hawa jamaa E fm unajua wanaweza kuwapindua ki ushawishi na usikilizwaji clouds media. Maana leo kila kona yani mji mzima wazee kwa vijana naona wameshika kasi kuelekea Tanganyika Packers...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Kichwa cha habari cheleeza naombeni majina ya films kali Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom