Habari wana jf kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu nahitaji msaada jinsi gan ntaipata video ya xxx(triple x ) the return of xandar cage iliyochezwa na mtaalam van diesel,ton ja na...
Ebhana hali ya hewa sio nzuri mitandaoni na ac za simu hazifanyi kazi kwa vitu vinavyoachiwa saizi....tujaribu kuachana na mziki wa team tufanye kumsikiliza beka flavour na mr blue...
#iwe ni...
Hakuna kitu kinauma kama kufungwa match mfululizo Huyu jamaa kachoka atupishe...Yaani Bado kidogo tu tunapiga kama Ruvu na Simba Jana.
Chonde chonde Kwa mashabiki wote wa Arsenal5 duniani Tuseme...
MUZIKI WA BONGO FLEVA USIWE CHANZO CHA KUARIBU TAIFA KWA TUNGO CHAFU..
Na Mgeni_wa_Jiji
Sanaa ni ajira iliyowainua vijana wengi duniani na sasa Tanzania tunalishuhudia hili. Ikiwa sanaa ni ajira...
Wakuu nimekuwa nikisikiliza mashairi ya wimbo huu na kuniacha nikitabasamu eti Mwanaume mashine! Ninacholingia Mashine..!!
hivi wanawake wao ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwa ni mfuatiliaji wa miziki ya Kikongo ( DRC ) tokea nikiwa darasa la Kwanza mpaka hii leo nipo katikati mwa Ujanani na Uzeeni lakini sijawahi kuvutiwa na Nyimbo hizi zifuatazo za midundo ya...
Nilifarijika sana leo wakati natizama movie inaitwa aquos PEOPLE kiukweli niliipenda na ikabidi niirudoe mara kama 3 hiyo scene mahali mama katika movie hiyo aliikua anaucheza huo wimbo kwa madaa...
baada ya leo mchana kupost picha ya wimbo wa diamond na kutopost wimbo wa alikiba.. Na baadae kupost mpambano wa ngumi ya TMT
Sent from my Linux ubuntu mobile
Ijapokua wengi hua wanapata taabu sana kumuelewa Mrisho Mpoto lakini hakuna atakaebisha kua jamaa anaitendea haki fasihi, hebu sikilizeni huu wimbo wake mpya halafu mlete mrejesho. kiiitendwiiiili
Katika maisha yangu nimebahatika kuwa na kampani ya watu wa hulka na tabia tofauti tofauti.
Nimepata fursa ya kuhudhuria katika maeneo ya starehe ,sherehe harusi sehemu ambazo inabidi nicheze...
aliongea Baraka da prince wakati Ben Pal ametoa nyimbo TATU iliyokua mbovu na hata audiance haijaipokea vizuri kabisa kua ni Bora kumshauri rafiki yako msanii asitoe nyimbo kabisa kuliko kumsifia...
Wadau mimi siyo mfatiliaji sana wa series, ila nikiwa na muda huwa napenda kuangalia series zinazohusiana na ujasusi pia siasa ndani yake!
Mpaka sasa nimeangalia
1. 24 hours
2. Homeland
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.