Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
kuna wimbo unaitwa kitu na box wa abdul misaambano na ule wa issa matona anaimba nilidhani mimi chanda na wewe pete yangu... Naombeni mnisaidie tafadhali manake nimezitafuta muda mrefu sijazipata
0 Reactions
12 Replies
13K Views
Na kuna ile ya Nikki mbishi na mkristo inakuja kuja kuikaribia hii ya KINGZILA..ZILA ZILA ni balaa
1 Reactions
14 Replies
10K Views
Wadau mwenye huu wimbo anisaidie, nimeutafuta mtandaoni bila mafanikio!! Natanguliza shukrani!!
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Wakuu kwa mimi hawa ndio wabaya wa chorus bongo kuanzia wa kwanza mpaka wa 5 1. Sir Nature - msitu wa vina 2. Belle 9 3. Chege Chigunda 4. TID 5. Q Chilla/ Q Chief
4 Reactions
42 Replies
3K Views
Nakumbuka nilikuwa chuo nasoma sikukaa mabibo hostel nilipanga room mtaani, siku moja jumapili a msichana toka mzumbe university alikuja home kipindi hicho alikuwa mpenzi wangu. Akaniambia huna...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari za jioni wakuu kwa wale wapenzi wa tamthilia ya queen of the south leo usiku inaendelea tena hivyo msikose kufuatilia......camila ataweza kumpiku mumewe kwa kumiliki genge kubwa la madawa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
hii movie inaeleza story ya wanawake watatu waliokuwa wakifanya kazi NASA. kipindi hicho ubaguzi wa rangi upo na wanawake hawaaminiki kwenye sayansi.
1 Reactions
17 Replies
5K Views
jana nimecheki muvi moja classic inaitwa SHAWSHANK REDEMPTION ni kali kinomaaaa.humo ndani morgan freeman kama kawaida yake hatarii
1 Reactions
3 Replies
708 Views
Msaada anae jua jinsi yakupiga kura bet awards2017
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nitawezaje kupata bet channel kwenye star times..
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Hbr Wadau Mimi Napenda Rhumba Za Koffi Olomide Taja Artist Wako Tufurahi Kuondoa #stress.
0 Reactions
9 Replies
754 Views
Amefariki leo hii katika hospitali ya Muhimbili DSM alikopelekwa jana kwa ajili ya Matibabu akitokea Newala.(Mtwara) Atakumbukwa sana hasa kwa Wimbo wake “Kila Munu avena kwao” Kila mtu ana kwao.
10 Reactions
103 Replies
33K Views
Hii aibu ya Bongo movie imezidi, naangalia Movie hapa yan mtu kalala na mwanamke kesho yake kaonekana na Mimba ####Aibu tupu
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau nasikiliza kituo kimoja cha dini ya kikristo wanapiga nyimbo za Bongo Flavour zenye meseji za Gospel ndani yake.Hakika huyu DJ ni mbunifu sijapata kuona . Baadhi nilizozisikia hadi sasa ni...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Toka muziki wa kizazi kipya ushike chart hapa nchini kumetokea wasanii lukuki waliojitahidi kuonesha uwezo wao!! Chorus nyingi zimeimbwa iwe katika nyimbo za wasanii husika ama zile za...
4 Reactions
76 Replies
18K Views
Moja ya nyimbo ambayo huwa najikuta natokwa na machozi wakati huo huo mwili unataka nitabasamu. Unaweza kiongezea....wasalam
2 Reactions
2 Replies
8K Views
Aisee hii ngoma kali sana. Pongezi kwa Young Dee
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari za weekend Jf Mimi ni mfuatiliaji wa movies hizi The blacklist Into the Badlands Blindspot Sasa zote zimefika season finale, wakati nasubiri next seasons naombeni masaada wa movies...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
Back
Top Bottom