Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
SIITAJI KURUDI NLIKOTOKA.. Mwandishi: SEID BIN SALIM SEHEMU YA KWANZA Mwaka mmoja ukiwa umepita tokea binti mwenye umri wa miaka 24 lucky ajiunge na chuo kikuu cha dar es salam UNIVERSITY OF DAR...
2 Reactions
21 Replies
9K Views
Naomba kupata picha yake huyu jamaa akiwa nje ya sura ya commedy means maisha halisi haya wajuvi nazisubiria wakati nikimalizia morning glory
0 Reactions
11 Replies
8K Views
KWA Maelezo ya FLORAH BAHATI LYIMO mwenyewe ni Kwamba>>>> Endelea kumsikiliza akitiririka.... Baada ya Mzee Yusuf kuingia Stegini kama saa nane na nusu hivi '' Alianza kuimba Nyimbo zake...
0 Reactions
24 Replies
9K Views
Kama kichwa kinavyojieleza naomba msaada
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Are you a Coldplay fan? What is your favorite song? Mine is 'yellow'.
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Binafsi yule mwenye sauti ya base namshauri akaimbe hiphop tu kwani hakuna namna wewe je unamtazamo gani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kutokana na Taarifa zinazotolewa na watu kwenye mitandao kuhusu kikundi cha mziki YAMOTO BAND kuvunjika leo, Mkubwa Fella amewatoa hofu mashabiki na wapenzi wa kundi pendwa la Yamoto Band kuwa...
1 Reactions
15 Replies
10K Views
wakuu kwa aliyeiona hii DEAD MEN TELL NO TELLS,vipi ipo mubashara?mimi ni mfuasi mzuri wa hii series ya PIRATES OF CARRIBEAN,nishaziona zote kuanzia 1)THE CURSE OF THE BLACK PEARL, 2)DEAD`S MAN...
0 Reactions
1 Replies
808 Views
hawa ni wachekeshaji wakongwe ambao wanaweza kuchekesha kwa vitendo tu bila kuongea je yupi ni best comedian.
1 Reactions
107 Replies
25K Views
Nyota aliejipatia umaarufu katika kiwanda cha filamu baada ya kuigiza kama Vampire-Edward Cullen katika filamu za Twilight saga, amefunguka wiki hii alipokuwa akihojiwa na The Newyork times na...
1 Reactions
1 Replies
895 Views
[emoji121]️ tizama nigerians sasa walivyoadvance katika tasnia ya filamu. Nigerian Movie zipo katika kiwango cha hollywood. Sisi huku tunalalamikia soko kila siku. Tunamsubiri makonda atusaidie...
0 Reactions
5 Replies
936 Views
  • Poll Poll
RIWAYA; REHEMA WA NJIA PANDA MTUNZI: Moringe John Mhagama NITAFUTE; simulizizakasuku@yahoo.com au 0717308038 (Whatsap pekee) au (0621081076 Meseji pekee) KITABU CHA KWANZA “Oyaa , madenti...
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Jaman mwenye kumbukumbu na wimbo wa kingereza wa vijana wawili wa kike na kiume, wakiimba pembezoni mwa bahari na sehemu nyingine. ulikua na mashairi haya kama sikosei "...you give every thing...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Baada ya kuacha maneno na kuweka @Muziki,Darasa ataachia ngoma yake mpya Leo katika kipindi cha XXL iitwayo Hasara Roho.
1 Reactions
21 Replies
17K Views
Kwa wale wapenzi wa movies za kibabe nadhani mnajua mfululizo wa Undisputed kuanzia 1 mpaka 3 lakini mwaka jana ilitoka sehemu ya 4. Katika hii filamu mtaalamu wetu Scott Adkin ameendelea kufanya...
6 Reactions
46 Replies
6K Views
Tazama huu wimbo ! Kisha comment kuhusiana na matumizi ya jukwaa kwa wasanii wa nje , ukilinganisha na wasanii wetu hapa nyumbani. Kwenye huu wimbo kuna mengi ya kujifunza kuhusiana na matumizi ya...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimevutiwa na huu wimbo ambao jina lake sijajua vizuri nafikiri ni jubilei unazungumzia jubilei ya miaka mia ya radio maria iliyofanyika mbeya mwaka huu, asante
0 Reactions
0 Replies
802 Views
katika nyimbo zote za huyu jamaa hii naona kajitahidi
4 Reactions
35 Replies
10K Views
Kutoka Timamu TV bwana mjeshi na mdada Ebitoke wameamua kujiongeza Cheka hapa.....
0 Reactions
0 Replies
10K Views
Back
Top Bottom