Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Naomba unisaidie majina ya nyimbo za gospel zilizoimbwa kwa kiingereza. Huwa zinanipa hisia kali. Thanks in adv.
0 Reactions
9 Replies
11K Views
Mada inajieleza vizuri, Dogo kacheza dk zote na kwa kiwango bora tumpgie kura ashinde. Kwa sasa Msuva anaongoza Link ya kupiga kura hiyo Ni mchezaji gani bora wa VPL kwa mwaka 2016/2017 - Poll...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Mimi nilikuwa miongoni mwa watu Wa mwanzo kabisa kufanya tathimini na kutoa maoni yangu khusiana na wimbo Wa Darasa hasara roho, ambapo nilisema kuwa inaonekana hata ule wimbo Wa muziki...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
Wakuu, Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa yeyote atakayewiwa kunisaidia kuupata wimbo huu!
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Hii chemistry ilikuwa balaa kila wimbo waliotoa ilikua hit song kwa mfano Hawajui,Wanaume kama mabinti remix,Msiache kuongea,Sikiliza featuring Mangwea-RIP,Alikufa kwa ngoma. Alafu kuna collabo...
0 Reactions
36 Replies
9K Views
Mwenye idea yoyote kuhusu simulizi movie ya scarfce...anitonye kidogo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wiki kadhaa nyuma kulikuwa na maandamano ya wasanii wa Bongo movie wakilalamika juu ya kudorora kwa bidhaa zao mbovu. Narudia tena kudorora kwa bidhaa zao mbovu. Hawajui ni wapi walipoteleza...
11 Reactions
66 Replies
6K Views
Jamani mimi naweza kuchekesha na nimetunga vichekesho vingi sana lakini sasa life linapiga photo tutapateje sapot bhana
0 Reactions
2 Replies
548 Views
Salam wakuu.[emoji26] Nimeitafuta mitandao yote duniani nimeikosa. Kuna Dada tulikua wote Johannesburg alikua nayo ila nikashindwa kumuomba. Maana tulikua kwenye msiba wa mama yake. Nikaona...
2 Reactions
36 Replies
9K Views
Hebu cheki hii clip ina maneno ya kiswahili, sikumbuki ni movie gani hii!!
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Naomba kufahamishwa historia ya mr bean maaru kwa jina hilo huyo bwana at inkson
0 Reactions
6 Replies
9K Views
"How I Became The Sea" June was the lobster shell I dug by hand A haven that hid me well Beneath the sand The wide windy waves washed in But I stayed dry The great breakers broke again As I...
0 Reactions
5 Replies
656 Views
Tune channel 350 Azam uone mambo yake.
0 Reactions
2 Replies
883 Views
Wakuu tupo hapa tunakula castle bariiidi huku live band ikiendelea Watoto wazuri wapo karibuni tule burudani muruaaaaa
0 Reactions
0 Replies
613 Views
jaman mwenye hizi series na yupo dar naziomba......ARROW, mission, 24 HOURS, PRISON BREAK, QUANTICO, ELEMENTARY, LOST, THE ORIGINAL, STRIKE BACK, SCI, THE WIRE, BREAKING BAD, CRIMINAL MINDS, WHITE...
0 Reactions
5 Replies
907 Views
___________________ Habari za kifo cha muigizaji Shahrukh Khan zilienea kwa kasi mapema wiki hii na kusababisha wasiwasi miongoni mwa mashabiki wake duniani kote. Hata hivyo taarifa hiyo...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
ikiwa imefikia Ukingoni mwa michuano ya ligi kuu mbalimbali duniani, Weka mtazamo wako hapa nani unaona anafaa kuwa mchezaji bora wa ligi usika tajwa hapo ; 1:ligi kuu Tanzania bara(Vpl) 2:ligi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Msanii Bonta toka weusi amejaribu kutupa baadhi ya njia za kupunguza zero mashuleni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimefuatilia mechi mbili za Serengeti boys huko Gabon nimevutiwa na wachezaji kadhaa[emoji123] [emoji123] [emoji123] Binafsi Nimevutiwa sana na uchezaji wa Dickson job na Abdul Suleiman pia...
0 Reactions
0 Replies
530 Views
Habari zenu wakuu. Kuanzaia miaka kama ya 2008 kurudi nyuma, hapa tanzania tulikuwa na kituo cha tewvision ambacho kilicho nivutia sana..... nilikuwa na vipindi vizuri sna .. kwamm binafsi...
4 Reactions
23 Replies
5K Views
Back
Top Bottom