Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
mwenye website za movies , series, na cartoon atume tafathal[emoji120]
1 Reactions
11 Replies
3K Views
wana jamii wap jaman gan ntapata nyimbo za taarab
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za j2, nimekuja mbeya kama miezi 2 imepita ila weekend huwa naboreka, maana huwa napendelea zile live band (mziki wa watu wastaarabu) ila sijua kwa mbeya zinapatikana wapi. Sasa wazee...
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Jana msanii diamond aliweka wazi kwamba hataki mwanae Tiffah awe msanii na kwamba wasanii wenhi wa kike hufanya mambo mengine tofauti ili kuweza kufanikiwa na kuishia pabaya haya amesema diamond...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni udhalilishaji kwenye tasnia ya sanaa hapa nchini kwa kauli kama ile kutoka kwa Diamond(kama ni kweli) Amedhalilisha wanawake wote duniani na hasa kwa kinadada wanamuziki. Dharau hii nadhani ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana! Mada tajwa hapo juu yahusika. Ni kitambo sana natafuta hii Instrumental ya my heart will go on, wimbo ambao umeimbwa na cecil dion. Ni beat ambayo inasikika sana kwenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
HADITHI APP Ukuaji wa teknolojia nchini Tanzania ndiyo mwanzo wa kukua kwa mambo mengi ya kijamii, mifumo mbalimbali ya kijamii...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Huwa napenda filamu za dizaini. share nawe ulizoziona. Girlfriend.
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Mbona yuko kimya yuko wapi?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ebwanaeeeeeh noma saana!
1 Reactions
7 Replies
3K Views
If you are fond of music; like singing; want to be a star; want to meet with music lovers in Africa; are seeking for a free music promotion platform; You should try Sing+ (aka Sing Plus) , a...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Motema ezo lela est ce que ozo yoka nga Mawa na nga pe pinzoli eh Mboka nini na kende epayi ya nga, Nakeyi Dar-Es-Salaam Kolela na nga eleki ya moto mohumbu oya azangaki liberté...Kuna kuna na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kati ya watanzania wanaomkubali Juma Nature basi na mimi nimo. Imefikia kipindi nikipishana na ka mwimbo kake kokote mahali popote pale nasimama hadi kaishe ndonaendelea na safari. Nimejaribu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo nataka nifahamu nani zaidi kati ya HASSANI REHANI BITCHUKA VS TX MOSHI WILLIAM(R.I.P), kwa enzi za uhai wa TX MOSHI WILLIAM maana walikua ni washindani(Competitors) hawa. Naomba U msondo na U...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Wakati mabadiliko ya vipindi yanatokea kwa kuviua vipindi vingine na kuanzishwa vipindi vipya mjengoni Clouds fm inakosikika kidogo niandamane hasa kipindi Amplifaya kilipoipoka nafasi kipindi...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
After only 90 days, South African award winning hip-hop rapper and songwriter, Kwesta, has reached an impressive 2 million views on VEVO with his latest and most personal music video offering...
0 Reactions
1 Replies
894 Views
wakuu habari! naomba kwa mwenye softcopy za tamthiliya (plays) za kiswahili au kiingereza anisaidie. au kama kuna mtu anajua mahali ninapoweza kuzipata anielekeze. natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
717 Views
Binafsi ni mdau na shabiki wa nyimbo zake....nimepata kuzipenda album zake mbili sanjari na ile ya jina ramadhan....Nimepata kusikia pasi na kupata uhakika juu ya uwepo wa huyu mwimbaji..Yupo hai...
0 Reactions
4 Replies
26K Views
Back
Top Bottom