Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Tupe list yako ya movie/series ulizodownload recently
0 Reactions
1 Replies
276 Views
Salaam wakuu, thread hii tutakuwa tunapeana updates zote zinazohusu Reggae Music. Reggae shows zinazofanyika jirani na maeneo yetu, requests za nyimbo mbalimbali za Reggae, riddims, dj mix nk...
4 Reactions
24 Replies
8K Views
What is wrong with us that we love to freak ourselves out by watching scary movies? On this list of the best horror movies of all time there are some truly shiver-inducing films that are capable...
1 Reactions
1K Replies
214K Views
Baada ya kuponea maisha kwa kuzama ndani ya ziwa la barafu, kipindi akiwa msichana mdogo, Cecilia alikata shauri la kumtumikia Mungu kwa kipindi chake chote alichobakiza duniani. Kwahiyo...
10 Reactions
17 Replies
956 Views
Naomba kufahamishwa namana ya kuona simulizi za zilizpita mfano za kinda msafi na wengineo. Nimejaribu ku-search inaniandikia "no results found"
0 Reactions
2 Replies
364 Views
Binafsi napenda sana filamu za Gerald Butler sababu story zake huwa ni logical, lakini hii ya London has fallen, mantiki ya story yake nina mashaka nayo. Kwa mlioitazama filamu hii, kwa level ya...
2 Reactions
3 Replies
376 Views
"Nina miaka 25 nipo Kigoma. Nilikuwa na mahusiano na mdada mmoja hivi, tangu mwezi wa tisa mwaka 2016 kipindi hicho yeye alikua mwanafunzi so sikutaka kuharibu malengo yake sikuwahi kumuuliza wala...
6 Reactions
60 Replies
5K Views
Hii tamthilia ya Mpali ina story nzuri sana ambayo inaeleweka. Ni bwana Nguzu na wakeze sita kule shamba kwao. Sasa ukija kwenye tamthilia za kitanzania, unakuta story ni ndefu mpaka inaboa...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Salam wakuu, Straight to the point, Stamina Shorobwenzi ametoa ngoma mpya inayoitwa Underrated ambapo humo amewashirikisha Motra The Future, Maarifa, Boshoo ze Son, Dizasta Vina ( The Black...
7 Reactions
57 Replies
2K Views
... MAQUIS du ZAIRE ni bendi ambayo ‘iliwatesa’ Watanzania kwa kuwaporomoshea burudani za muziki wa dansi maridhawa katika kumbi mbalimbali hapa nchini Kwa wale waliokuwa vijana kati ya...
3 Reactions
18 Replies
14K Views
Baada ya kutokea kwa mauaji ya watu kadhaa, polisi wanafika eneo la tukio kwa lengo la kufanya uchunguzi. Katika eneo hilo wanakutana na miili isiyopungua mitatu, yote imelala mfu, wanaikagua na...
13 Reactions
35 Replies
2K Views
Kuna watu unajikuta unawapenda bila sababu yoyote/unconditionally yaani unamkubali tu, basi upande wangu kuna orodha ndefu ya watu wengi ninaowakubali sana kama vile 2Pac, Mohamed Ali, T...
40 Reactions
231 Replies
14K Views
zifuatazo ni movie 4 nzuri ambazo unaweza zicheki wiki hii ukiwa umepimzika. Kwenye orodha zipo 4, ila Angalia angalau 3. WIKI YA KWANZA SAVING PRIVATE RYAN waigizaji: Tom Hanks, Matt Damon, Vin...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimejaribu kufatilia kuna uchafu mwingi sana kwenye industry, na zama hizi mpaka msanii aonekane lazma labda adandie record label. Na ukidandia ndo hivyo tena unakua kama wakina rich mavoko, siku...
1 Reactions
71 Replies
2K Views
Hiyo movie amecheza jamaa mmoja sijui ni kama msomali hivi simjuagi jina movie ile ni kama imechezwa maeneo ya magomeni kuna kipande dada fulani hivi kama ana asili ya kipemba au kiarabu aligeuka...
2 Reactions
12 Replies
462 Views
Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa movie za horror specifically zombie movies basi utagundua movie nyingi za zombies Hollywood wanaigizia Las vegas Kuna siri gani iliyo jificha nyuma ya jiji la...
2 Reactions
6 Replies
648 Views
Wakuu naombeni mnisaidie jina la msanii au wimbo ule wa zamani wa mdada wa SOUTH AFRIKA sikumbuk vizuri maneno yake ila kibongo bongo tulikuwa tunaimba pale kwenye kiitikio "tamu sana,aaaii...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
"Hakuna mwenye uwezo wa kutabiri mambo yatakayotokea wakati ujao kwa usahihi isipokuwa Mungu pekee". Hivyo ndivyo wanasema, maana yeye pekee anatambua mwanzo na mwisho wetu. Wataalamu wengi...
14 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa wale wenzangu na mimi, kama hujawahi sikiliza Wimbo wa Dax: what it takes to be a man, sikiliza kisha hii ndio swahili version yake "Sina uwezo wa kujificha Sitarajii uweze kuelewa Natumai tu...
2 Reactions
1 Replies
446 Views
Wadau nilikuwa Moshi Jumamosi ya week iliyopita; niliingia night club moja kama sikosei inaitwa Mlandege nili-enjoy sana watu wanavyoimba karaoke; nilitamani kujua na hapa Dar kama kuna hizo bar...
9 Reactions
80 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…