Night of scary: USIKU WA KUTISHA hi stoly nimetunga kwa umalidadi na ufasaha kabisa ni uzuni kidogo
Ukuapo maijila ya saa 7 usiku mkoa shinyanga kijijin cha tambukareli kulikua na familia moja ya...
Kwa wapenzi wa hiphop hivi mmepata na nafasi ya kusikiliza hii nyimbo mpya dizasta vina hatia V aisee kuna ubunifu mkubwa umetumika sana humo hata akifa leo nyimbo zake zitasikilzwa milele jamaa...
KWANZA UNIT CREW - MSAFIRI..
Ubeti1
Hii Ndo Picha Kabla Pazia la Udongo Ndani Futi sita/
Vita, Kila Watu 9 Kati ya 10 Dhidi ya Hali duni/
Naelekea Nchi ya Ughaibuni/
Nimezunguukwa na Dhoruba/...
Anachotaka Christine ni kupanda cheo hapa benki toka kuwa afisa mikopo mpaka kuwa meneja wa tawi.
Anaamini akikaa hapo, wazazi matajiri wa 'boyfriend' wake watamheshimu na kumwona anafaa kuolewa...
Watu wengine hatupendi kuangalia horror movie sio tu inatisha pekee Bali tunataka iwe ndani yake Ina mvuto (idea nzuri) na unique ndo dhumuni kubwa ya Huu Uzi mfano mzuri ni "Final destination"...
Pengine atakua kaambiwa na majirani wa kijiji hichi.. akijisema maneno hayo justin
Orenda,”sawa kijana wangu ukiwa na uhitaji wowote usi sisite kuniambia
Justin.
Sawa mzee wangu una una itwa...
Kuna wimbo mpya umetoka. Si mwingine ni kijana wetu, Roma Mkatoliki.
Wimbo unaitwa "Nipeni Maua Yangu" humo ndani kuna madini ya kutosha. Roma Mkatoliki kama kawaida yake katoa ya moyoni...
Hii n list ya movie za kihindi kwa mtazamo wangu naona ndio Bora kwa muda wote Bollywood hasa kwenye love story kama hutaielewa list yangu unaweza taja na zako zilizo kubamba kwangu movie Bora...
Muziki wa Tanzania una wanamuziki wenye uwezo mkubwa lakini muziki wetu hauendelei mbele kwenye mataifa mengine kwa sabau hakuna ushirikiano baina ya wasanii. Naamini wasanii wa kishirikiana...
Hii ngoma Rayvany ametuonyesha unafiki upo mwingi sana kwenye mapenzi ya kisasa.
[emoji444]Ukiwa na pesa utasifiwa kitambi,na kukupamba kwenye simu.[emoji23][emoji445]
Wanaume huwa tunakamatwa...
Leo kwa heshima kubwa naomba nikupe simulizi ya ndugu watatu kutoka Uingereza ambao walitupatia vionjo matata sana katika nyimbo zao, ni kaka watatu ambao ukiwatazama utaona ni kama hawafahamu...
Simulizi; MLANGO WA 77 "DOOR 77"
Mtunzi; Robert Heriel
Taikon Publishers
0693322300
EPISODE 01.
Mvumo wa sauti za chura uliendelea kuvuma kama kwaya ya Akapella huku masalia ya matone ya mvua...
Ngoma imeachiwa jana iko katika platforms isikilize baadhi ya mistari nimeikubali anakwambia
Boss hana neno ila wapambe wana nguvu
Moyo una amani karume and my soul is free
Nawapoteza fasta kama...
P diddy alikuwa ana marafiki wengi sana ambao alikuwa nao au alionekana nao kwenye party ambazo alikuwa akiziandaa kwenye nyumba zake za kifahari. Wengine alikuwa nao karibu sana mfano Jay Z...
MWANGWI wa vilio na simanzi kutoka kwa watu waliopoteza maisha baada ya meli kuzama kwenye mkondo wa bahari wa Nungwi, Zanzibar, uliambaa kwenye maji na kwenda kugota kwenye ukuta wa chini ya...
| Origin and Workflow
Electro Dance Music ni muziki unaochakatwa Kidigitali ukitegemea mfumo wa kimekanika "Mechanical". Muziki huu utayarishwa kwa kutumia Digital Audio Workstation, MIDI, Power...