Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kwa wale wadau wa movies, Kama kuna anayefahamu spy movies au ant terrorist movies mpya zilizotoka kati ya May -August 2014 anifahamishe tafadhali. Ahsanteni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hata kama kumbeba au kujikomba mpunguze, kila siku mara 4 au 5 mnaweka nyimbo ya linah 'ole themba' na diamond 'mdogo mdogo'.......Wengine je?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni tukio ambalo kamwe sitalisahau katika maisha yangu. Mke wangu Maria Benard, umenivumilia kwa mambo mengi sana kiasi kwamba a fake wife can't stand those episodes. Wewe ni mrembo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi karibuni takribani mwaka huu wote hadi tulipo leo TBC1 na Komedi ya Masanja, Choti etc haina mvuto kabisa kwa watazamaji kiasi cha watu kukimbilia EATV kule kwa bambo ambao wanaonekana kuziba...
1 Reactions
94 Replies
16K Views
Wakuu, navutiwa sana na hii soundtrack inayotumika kwenye kipindi cha BONGA STAR TV kama ambavyo unaweza kuisikia kwenye clip hapo chini kuanzia 0:00 hadi 0:10. Naombeni msaada, kwa yeyote...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
kati ya hawa madogo wawili young d na young killa nani kati yao unaona ni fundi?
0 Reactions
30 Replies
14K Views
- Wananchi 6,000 au Elfu Sita walijitokeza kushiriki kwenye ile Party yangu niliyoitangaza siku za nyuma hapa JF, ukumbi ulikuwa na uwezo wa kuchukua watu 4,500 tu kwa hiyo wengine 1,500...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari zenu wanajamii katika kipindi hichi cha skukuu ya eid nyimbo ambazo zilibamba Club na kufanya kila mtu mzuka kuwa juu na kucheza bila ya kuchoka ni hizi 20 bora. 1.Mafikizolo ft Davido...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akikata utepe wakati akizindua rasmi albam ya Rose Muhando mwimbaji wa muziki wa injili inyoitwa Shikilia Pindo la Yesu katika onesho kubwa la uzinduzi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hivi huyu jamaa anakichwa gani? huwa anadondosha ngoma za akili sana, hii ngoma MAKTABA inanifanya nimkubari kwamba ni msomi kweli.
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Ngoja nijinoe mbavu kwani baadae Golden Tulip itakua ni "sheedah". Jana niliwashuhudia wachekeshaji Anne Kansiime, Omond na Mc Pilipili katika vyombo vya habari. So, leo ndio leo inabidi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuna muvi niliwahi kuangalia, nataka niitafute tena niiangalie ila kwabahati mbaya nimeisahau jina::: ilikuwa inahusiana na marriage, wamecheza wamarekani weusi, inavyoa anza kuna wadada...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii niiliyo translate in English The Tanzanian hip hop is broken, what could save him, young people who want to save him and his ideas were. The hip-hop variant Bongo Flava stood for the...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=174796&d=1406983122 https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=174796&d=1406983122 Hizo nimezirekodi kwa kutumia simu lakini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
We unahisi kwanini wasanii wa hip hop wengi wa Tz hawana mafanikio wa nje
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mwenye hii nyimbo hebu tuwekee tuipakue!
0 Reactions
2 Replies
895 Views
napenda sana nyimbo za huyu jamaa nazitafuta naomben msaada wa kuzipata (audio) natanguliza shukrani za dhati
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Akitangaza Tamasha kubwa la Kumshukuru Mungu Kwa Kanisa lake Kupata Helkopta mpya Kwa Ajili ya Uinjilist Tanzania, litakalofanyika Kwenye viwanja VYA Kawe-Tanganyika Packers, siku ya Jumapili...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Jamani mimi huwa nayafuatilia sana,yanaonyeshwa EATV Jumamosi saa moja usiku na j5 saa moja. Ila siwaelewi majaji hua wanaangalia vigezo gani kwa washiriki. Utakuta washiriki wanadance vizuri...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Je, ujio wa ali kiba katika game unauchukuliaje? Ataweza kurudi katika kiti chake au vipi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom