Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Tamthilia ya when you where mine inakalibia kuisha ungependekeza tamthilia gani ifwate baada ya hiyo?....maoni ya wengi ndio yatafwata asanteni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam nyote, Jamani nimetafuta karibu miezi 2 sasa online hz nyimbo bila mafanikio. Mwny nazo jamani anisaidie ntamshukuru sana. 1. Bwana Mungu- Upendo kilahiro&TAG Kimara 2. Hakika wema...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
http://youtu.be/-7OcGS6sV8E
0 Reactions
2 Replies
983 Views
Ikiwa leo anatalajia kusafiri kwenda jijin Texas kwenye utoaji wa tuzo za AFRIMMA, ambazo anawania category tano,President wa WCB..@diamondplatnumz ametajwa kuwania tuzo zingine barani Africa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
http://youtu.be/-_O2RMNBHpk
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Japo nyimbo hizi mbili zina maana tofauti, lakini zote zimepgwa kwa maadhi ya kiasili pia idea ya matukio na story ya video hizi mbili ni ile ile! Sema mkali Diamond katika sehemu ya familia ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Anayezijua filam nzur za kuvutia zile za kizombie atupie hapa. Ukiachilia mbali prey, wrong turn na walking dead hizo hapo tayar nmeziona, ila walking dead inatisha lakn inavutia sana nmeangalia...
0 Reactions
0 Replies
573 Views
Naingia pub moja Kinondoni, sehemu ambayo wao huita VIP, au Lounge. Ni pazuri, pako kiheshima na hakuna fujo kama sehemu zingine za bar hii. Hata kama una mazungumzo ya biashara ni mahali pazuri...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kitendo cha yule mwanamke kunyakua rasket yangu ambamo ndani yake kulikuwemo na laptop, pamoja na camera ya kisasa aina ya Minolta,kilinifanya nipagawe kabisa,hata hivyo nikajikaza kiume na kumvaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
"Venomous snakes were being ferried from Africa to Europe in a plane. Unfortunately the person who packed the snakes forgot to lock the box in which the snakes were put. Once the plane had taken...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu mm ni mpenzi sana wa movies za huyo jamaa.je site gani naweza zipata kwa free? shukrani sana
0 Reactions
2 Replies
2K Views
HUYU ABAS. MZEE NI MZALIWA WA WAPI. NA HIKI KIKUNDI CHA EGEPTION TARAAB. NI. CHA ZNZ au bara Nauliza kwa wanaojua tu
0 Reactions
1 Replies
3K Views
WIMBO UMEIMBWA NA SALUM ABDALLAH & CUBAN MARIMBA BAND WIMBO " MKONO WA EIDD" Baadhi ya mashairi yake "Ihdinaa hidina mpenzi wangu ninakupa hidina. Ee kwa heshima Mpenzi wangu ninakupa MKONO WA IDD"
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nimekuwa nikipita mara kwa mara mitaa ya posta mpya karibu na IFM,kuna casino imefunguliwa pale inaitwa princess,Ningependa kufahamu member yoyote mwenye uzoefu na pale anijuze juu ya huduma...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
I can't believe It's over I watched the whole thing fall And I never saw the writing that was on the wall If I'd only knew The days were slipping past The good thing never last That you were...
0 Reactions
2 Replies
915 Views
Wakuu ingawa Mungu kampenda zaidi na kumchukua mwimbaji huyu, mimi ananibariki sana kwa nyimbo zake, pia na shuhuda zake katika maisha yake aliyopitia. Naombeni msaada kwa anayefahamu nyimbo zake...
4 Reactions
50 Replies
15K Views
Maisha ni mafupi kweli.. Yesterday morning, Tusker Project Fame's judge and established Ugandan songbird, Juliana Kanyomozi, lost her only dear son. Keron, 11, passed away Sunday morning at...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu naomba mwenye wimbo wa Cosmas Chidumule uitwao "Libarikiwe neno..." anipatie. Ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwanamuziki wa F.M Academia aitwae Digital amefariki dunia katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa. Mwanamuziki huyo mwanzo alilazwa hospitali ya Mwananyamala na baadae alipewa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
I'll Get Over You - Crystal Gayle To all the men who dumped/left you; To all the ladies that said NO to you... One thing 'bout this heart of mine All my hurt's gonna mend in time It don't...
9 Reactions
114 Replies
6K Views
Back
Top Bottom