Kisa cha kusisimua, ni kisa kitamu chenye mafundisho na kuburudisha pia.
Nimesoma visa na stori kibao humu ziwe ni dhahania au za kweli lakini zimenipa nguvu na faraja kuwa kwenye record...
Movie ya barbie imeingia miongoni mwa movie 53 duniani zilizofikisha mauzo ya 1Billion $. na hii na ndani ya week tatu tuu tangu kuachiwa kwake.
Hii imemfanya director wa movie hii kutengeneza...
Kutokana na mlipuko na kusambaa kwa homa kali ya mapafu – Corona (COVID -19) ni muda sasa wa kupunguza rapsha za hapa na pale tujitulize nyumbani muda wote ama muda mwingi zaidi. Ni kweli ni...
Frank Sinatra, John William Coltrane, Miles Dewey Davis au Dean Martin, wengine wanaweza kusema kuwa kuna mwamba Nat King Cole, au wakati mwingine Bing Crosby ila binafsi acha nimtaje Mzee wa kazi...
Katika pitapita zangU...leo kuna ofisi flani hivi nilienda kupata huduma!!!....
Kuna muda niliwasikia wafanya kazi wa ile ofisi . Katika mazungumzo yao ya hapa na pale....wakiitaja sana na...
Q CHIEF NI CHORUS KILLER WA TAIFA.
kupiga debe kwangu ilikuwa poa,
Fani katika maisha ikaja kuniokoa
Kwa radhi ya wazazi kijijini nikaoa
Mke nilimshusha hadhi kuwa na machangudoa
Mzimuni Family...
'Rapa' kutoka nchini Marekani KanyeWest amefunguliwa mashitaka na aliyekuwa mfanyakazi wake wa zamani katika shule yake ya 'Donda Academy' iliyopo Los Angeles, kwa ubaguzi na unyanyasaji...
Inakuwaje wanaJamiiForums
Najua wanaJamiiForums mpo wakali wa movies humu, Mimi bwana Fene napendelea sana movies zilizo serious lakini zinakuacha ukiwa ni mwenye kucheka mwanzo mwisho...
Tumalizie sehemu ya mwisho ila kama hujasoma sehemu ya kwanza unaweza kuisoma hapa The Bee Gees: As long as you're having fun, that's the key, Sehemu ya Kwanza
Karibu sana
Kwenye kipindi...
Hii ni siku ambayo Cercei alienda kusikiliza hukumu yake na mfalme ambae alikuwa ni kijana wake akafanya maamuzi kuwa mama yake ana makosa na kesi yake itaamuliwa sio kwa trial by combat.
Hii...
LOVE JUAKALI ALIVYOMLIPA WEMA MWANAMKE MWENZAKE ALIYEDAI HAMPENDI KWASABABU ANA SURA NA UMBO BAYA.
Unaweza kushangaa! unaweza usiamini lakini watu wema bado wapo! kama matukio yanavyojieleza...
Habari za wakati huu wadau wa Muziki natumai mmeamka salama.
Wapenzi wa Muziki Aina ya Hip Hop nina imani mnaitambua vyema Historia ya Muziki huu, Muziki huu Asili yake ni nchini Marekani, lakini...
" No one care who i was until i put the mask"
" Peace has cost your strength, Victory has defeated you"
" You think darkness is your ally..."
" I was born in it, molded by it"
Ladies and...
Habari zenu wandugu? Ni kitambo kidogo sasa hatujakutana kwenye hiki kijiwe chetu cha movies kutokana na mambo ya hapa na pale lakini natumai kila kitu kipo poa!
Pasipo kupoteza muda, leo...