Bob Marley aliwai kusema "the good thing about music, when it hits you, you feel no pain". Sikatai lakini...
Jana baada ya mechi ya yanga na kuchoma Cannabis Sativa kidogo niliingia local bar...
Kutoka kitabu hadithi za Kisukuma.
Methali na Tafsiri
Makono hoya babyaji ba banhu: Mikono ndiyo wazazi wa watu: fanya kazi kwa mikono yako uishi.
Buka mundi tukalye sha balimi: Miguu yangu...
HIP HOP HAIUZI - MADEE
WIMBO UNAOONGOZA KWA KUJIBIWA BONGO
HAMADI ALLY ndilo jina lake halisi lakini alipoingia kwenye uga wa michano akaona atafute jina ambalo litakaa kisanii lakini halitatoka...
Wengi tunamfahamu kama Zahara ila majina yake ni Bulelwa Mkutukana, alikuwa ni mwimbaji wa nyimbo kutoka Afrika Kusini, mtunzi wa nyimbo, na mpiga gita mzuri sana. Katika Kijiji cha Phumlani...
Klabu mpya ya Kikristo iliyopo Nashville, Tennessee, Marekani, inayojulikana kama The Cove, imeanzishwa kwa ajili ya waumini wa Kikristo wenye umri wa miaka 18 na zaidi wanaokusanyika kwa lengo la...
Wakuu niaje?
Karibuni tukumbushane baadhi ya scene kali kabisa kwenye Movies zetu pendwa. Leo mimi nadondonsha scene hii fupi kutoka Shaolin Soccer. Unaikumbuka?
Nimeangalia series zifuatazo
1. Game of Throne
2.Tyrant
3. Godfather of Harlem
4. Banshee
5. Ozark
6.Narcos
7.Elchapo
8. 24 jack Bauer
9.Rome
10.Breaking Bad
Naomba mnitajie series nzuri...
Wakuu habari za uzima na poleni kwa majukumu.
Najua wengi huwa tunafuatilia Tamthilia, maana nyingi hufundisha mambo yanayotokea katika jamii.
sasa mama watoto Huwa ninamuhadithia kuhusu...
Moja ya kitu kinafelisha bongo series ni kutokua na waandishi wazuri wa series na muvi yaani Screenwriter/Scriptwriters. Mtu kwakua ana stori anayo kichwani basi yeye mwenyewe anaiandikia script...
Wakuu naomba mwenye wimbo wa orchestra makassy Dar es salaam jiji umbea mwingi, ukila kisamvu kaza roho mama Mwanza aaaa mteva, shinyangaaa mteva naomba kuwasilisha.
Afrika imepata baraka kubwa ya kuwa na wanamuziki wengi, wapo watakaosema kuwa bendi bora ni Ladysmith Black Mambazo, au Mahotella Queens ya dada watatu Hilda Tloubatla, Nobesuthu Mbadu, pamoja na...
EPISODE ONE
________________________________
UCHAMBUZI MAKINI WA KITABU CHA:
"SIRI ZA AKILI YA MTU TAJIRI" (SECRETS OF THE MILLIONAIRE MIND).
NA:
LEONARD JULIUS SHIGANGA WA MWANAMATINGATINGA...
1. 13 Hours: The Secret Soldiers of Benghazi (2016)
2. From Paris with Love (2010)
3. 6 Days (2017)
4. Escape from Mogadishu (2021)
5. Argo (2012)
6. 12 Strong (2018)
7. The Doorman (2020)
8...
Natumai mpo vyema wakuu
Nimeona nianzishe uzi maalumu wa kutupia dialogues, nukuu, misemo, n.k uliyo ikubali kutoka kwenye series au movie yoyote
"Arya would rather act like a beast than a lady"...
Unakuta nyimbo inasema " bora niinjoi maisha mafupi matamu si simpo, kama kumpenda bora nimpende mama yangu kama kupenda nitajipenda mi mwenyewe, sasa kwa hali hiyo msinyimane tu unyumba na ndoa...
1. Animal (2023)
2. The Hunger Games: The Ballad of Songbirds & Snakes (2023)
3. Salaar (2023)
4. The Creator (2023)
5. Violent Night (2022)
6. Silent Night (2023)
7. The Hunger Games (2012)
8...
1. The Wall (II) (2017)
2. Hard Kill (2020)
3. Jarhead 3: The Siege (2016)
4. Kill, Die, Laugh (2017)
5. A Grunt's Life (2019)
6. We, the Marines (2017)
7. Dead Sea (2014)
8. Devil Dogs (2017)
9...