Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Kwa wakubwa waliokuwepo enzi za huyu bwana nafikiri wanakumbuka vichekesho vyake, ilikuwa balaa unavunja mbavu wakati mwenyewe kimyaa.... alikuwa haongei utaona vitendo vyake tu na utafurahi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
BBC News - Police Academy actor Bubba Smith dies Bubba Smith, the American football star who found fame on screen playing Hightower in the Police Academy movies, has died at the age of 66...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wandugu, Nautafuta sana wimbo wa "kidekule" (video) kwenye youtube bila mafanikio. Msaada please kwa anaejua wimbo unaitwaje or bendi iliyoupiga. Ukiweza kuuweka hapa ni poa pia. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Kwa kweli TV zisipige kabla watoto hawajalala
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yupi mkali wa hip hop hapa bongo? Kuanzia aina ya ghani (styles), mashairi (lyrics) na ryhmes?
0 Reactions
47 Replies
16K Views
Naam wana JamiiForums! Msikose kuangalia kipindi maridadi kabisa cha FAMILY FULL MAPESA kupitia STAR TV kila JUMAPILI SAA 12:30 - 1:00 JIONI. Hiki ni kipindi cha kifamilia ambacho watu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
trinidad carnival - YouTube
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Salaam wanaJF! Poleni na shida na matatizo lukuki yanatukabili kila sekunde hapa Tanzania. Lakini licha ya matatizo hayo, nimeona ni vyema wakati mwingine tuondoe kidogo hizo stress kwa kupata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kuwa amefanya shooting nyingi upande mmoja wa muungano 'Bara' TID Aliamua kwenda kufanya shooting Zanzibar,wakiwa katikati ya zoezi hilo maeneo ya Forodhani walitokea maafisa wa parking...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrSalaam-e-Ishq: A Tribute to Love uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhlllluuuuuu Thanks to Asha Dii ... alini recommend na kunisisitiza niitafute hii movie ! kusema...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Kwa wale waliokuwepo kwenye 80's nadhani mnakumbuka hii kwaya kutoka Arusha iliyojulikana kama "Arusha Town Choir"... Mimi binafsi huwa mpaka kesho naipa hii kwaya kuwa kwaya bora kabisa kwa...
0 Reactions
7 Replies
14K Views
wapendwa naombeni mnisaidie hapa, nina ndugu yangu anategemea kugraduate jumamosi St Joseph University huko Mbezi Luis. Sasa tunataka baada ya graduation tukae sehemu tule, naombeni mtu anayejua...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Sat, Aug 13th, 2011 Minister for Information, Youth, Culture and Sports, Dr Emmanuel Nchimbi The Minister for Information, Youth, Culture and Sports Emmanuel Nchimbi insisted that the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya sasa wale wapenzi wa taarabu tumewaletea nyimbo bomba kwenye simu zenu bureee tembelea sasa www.bongomp3.xtgem.com
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jana wakati waziri wa habari wakati akihitimisha hotuba ya makadirio ya wizara yake alisema bila kutafuna maneno kwamba serikali itaendelea kuwaunga mkono miss Tanzania na kushadidia kuwa kadri...
0 Reactions
1 Replies
975 Views
Jana nilikuwa naangalia show ya BET nikaona Dwight Howard will tour africa, and during the conversation statement he mentioned TANZANIA 5x, now amesema kwamba anakuja kujenga shule, Swali ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
400MB INTERCHANGEABLE LINKS: FILESERVE: http://www.fileserve.com/file/p4GENyh/The.Hangover.Part.II.2011.TS.XViD-EP1C.part1.rar...
0 Reactions
13 Replies
607 Views
daahhh the golden days
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Mama Benchmark naona inakula kwake,Airtel wamejitoa kwenye udhamini wa show hii.Inasemekana wao walikua wanatoa udhamini kiasi kama 255million kwa ajili ya show hii.Benchmark wamekimbilia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
baada ya kutazama tusker all stars jumapili nilikosa hamu kabisa kwa wale niliodhania. kwa mfano kipindi kilichopita Msechu alifanya vizuri sana lakini juzi Krrrrrr! aliniboa sana. anaulizwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…