Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

It took several shorts to compose a spectacular lunar eclipse series. The pictures were taken from my simple digital camera Canon Ixus 8015
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau kama kuna mwana JF ana movie yenye jina hapo juu au anajua nitaipata wapi anijulishe
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi karibuni nimekuwa nikiangalia dvd ya prison break niko namba 4 je ktk prison break ni kina nani unadhani wana akili sana? Mi orodha yangu ni hii 1. Michael scofield 2. Alexander Mahone 3...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
A drama set centered around the war between Russia and Georgia, and focused on an American journalist, his cameraman, and a Georgian native who become caught in the crossfire. DOWLOAD...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bongo Movie Club wanajiandaa kwenda Dodoma kwa ajili ya mechi yao na Wabunge hapo Ijumaa, lakini tayari kuna kashfa imeikumba club hiyo na viongozi wanajitahidi kuzima kashfa isijulikane kwenye...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kill the Irishman HIii mpya released 2011 download hapa http://www.kat.ph/kill-the-irishman-2011-dvdrip-ac3-xvid-cm8-t5417367.html GET SHORTY released 1995 imechezwa na Travolta Be Cool...
4 Reactions
43 Replies
5K Views
What an implant? Check it out...here! WWE: Capitol Punishment: R-Truth discusses conspiracies and Capitol Punishment with President Obama
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wimbo wa yekeyeke uliwahi kuwa maarufu sana mwishoni mwa miaka ya 80, kipindi hicho mie bado kijana mdogo. Kwa wanaoukumbuka wimbo huu, napenda ku-share taarifa zifauatazo: Mwimbaji: Jina la...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hollywood Tonight, nimeufurahia sana ni moto wa kuotea mbali. Mwenye uwezo atuingizie link ya youtube ili tuburudike pamoja
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tayari washachakakua kwa yule Michuzi ambaye leo kaamua kuhifadhi jina lao...sie huku kama kwa tuna namna zetu za kupata habari JF style Anyway Jana Masekela aligoma kutumbuiza pale Southern Sun...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
sipendi hata kutazama!!!!!!!!!basi tuuu ovyoo kwelikweli
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jipatie nyimbo mpya kabisaaa za bongo kwenye simu yako we bofya hapa tu NYIMBO MPYA ZA BONGO -download nyimbo mpya za bongo flava
0 Reactions
0 Replies
83K Views
YouTube - ‪Evans Bukuku s Comedy Club (Michuzi Blog)‬‏ Sijawahi kuhudhulia show yake zaidi ya kuangalia kwenye mtandao, naweza kusema ni wazo zuri sana alilokuja nalo Evans...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NYIMBO MPYA ZA BONGO
0 Reactions
0 Replies
23K Views
MSANII wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudubaya’ (pichani) hivi karibuni alitupwa selo baada ya kukamatwa na polisi wilayani Geita kwa kudaiwa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, Ijumaa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu heshima zenu. Naomba msaada nipate nyimbo zote za Lucky Dube na msisitizo ni kwenye wimbo "Usizi". Ikiwa katika mfumo wa MP3 nitafurahi zaidi. Asanteni
0 Reactions
5 Replies
831 Views
Makala hii imeandikwa na Bishop J. Hiluka kwenye gazeti la KULIKONI leo JUNI 3, 2011 SIKU zote naamini kuwa penye ukweli uongo hujitenga. Jumamosi iliyopita, katika kipindi cha Baragumu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
I once heard a Swahili version of Hold yuh, and I was wondering if there is anyone who knows the singer(s) and if have a copy of that or can direct me where I could get it, I'd really appreciate!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Miaka na zama zilizopita zina raha yake ambayo katu hatuwezi kuipata tena leo. Gazeti kama Motomoto lilikuwa motomoto kweli, kwani ndilo pekee lililokuwa likiandika habari za vyama pinzani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Clouds FM wanatuambia tunaweza kuwapata kwenye mtandao wa Internet lakini ukifungua huko mbona hawapatikani?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…