Wadau kama nilivyoahidi leo naanza kuishusha riwaya ya tai kwenye mzoga mpaka mtunzi atakavyonielekeza tofauti. Mtunzi wa riwaya hii ni yule yule KELVIN e. MPONDA. Wasiliana naye kwa namba...
(Majina na matukio katika hadithi hii ni yakubuni. Mfanano wowote na watu, mahali au matukio halisi ni wa kinasibu na si kusudio la mwandishi. Haki zote za kunakili na kuchapisha zimehifadhiwa -...
Hapa tutatiririka na nyimbo kali na albums kali za kwaya kutoka R.C
Unazo ona zimetikisa kweli iwe katika jimbo au mkoa wako au Tanzania nzima.
Mimi bwana nitaanza na hawa kwaya ya mtakatifu...
Naomba nikwambie kitu kimoja.
Wanasayansi hawapendi sana muvi kwa kuwa zinatoa siri zao nyingi sana. Yaani ni bora hata vitabu kuliko muvi, hawazipendi mno.
Wakati watu wanatengeneza muvi. Sisi...
Ep 01
Sikuwahi kufikiria wala kuwaza kama kuna siku nitakuja kumchukia kwango cha kumlaani marehemu kaka yangu na Mkewe. Kiufupi, nawachukia sana, yeye marehemu kaka na bibi harusi wake...
Moja ya aina ya mziki niliokuwa nautafsiri kama wa kihuni ni pamoja na aina ya huu mziki toka pwani Singeli.
Ila huu wimbo wa Mfalme Ninja uitwao Sio Mwizi kidogo umebadili fikra zangu kwa ujumbe...
Mbali na namba yao kuwa na members saba lakini WANNE ndiyo wamesikika zaidi na nitawalezea kinamba, kwa namna ninavyowakubali;
A. KUMI ZA JUMA MOHAMMED MCHOPANGA (MBAKIAJI, X MAN, BISHOO...
acha tamaa za paka, kuparamia majirani.
roho ikakutoka, vya watu kuvitamani.
mchana umeokoka, usiku hayawani.
kila mtu wamtaka, umtupe kitandani.
hebu punguza mizuka, na uache uhuni.
Ua langu limechumwa- bila mimi kujua..
Moyo wangu unauma- natamani kujiua..
Amekosa huruma- ua langu kunyakua..
Hivi nan kamtuma- leo hii naugua....
Ua lilinawairi- kila mtu alidata..
Haikua tena...
Hela mwanaharamu, zinanunua mapenzi
Utapata mautamu, bila hata ya hirizi
Shingoni atakuchumu na tabasamu la kiwizi
Atasema bby tamu, na yatamtoka machozi
Bby wew mtaalam, tena anamwaga radhi
Bby...
Digital product ni vitu kama mziki, video, movie, games, documents au file lolote lile ambalo lina access Mtandaoni tu. Nataka nisakue watu 1000 wakununua Digital product ya 10k niingize hiyo 10M...
Wengi walisoma hizi hadithi zamani. Ngoja tujikumbushe humu. Pia unaweza kusioma ndani ya maktaba app na vingine zaidi ya 60. Tupm au namba 0715278384 ukitaka kuungwa.
HEKAYA ZA ABUNUWASI NA...
Kabla ya CCM kuzaliwa Chama cha TANU kilikuwa kinamiliki bendi kupitia twai lake la TANU Yough League ilijulika kama Vijana Jazz. Mwanzoni bendi ilianzishwa na John Ondoro Chacha mwaka 1971 ikiwa...
Hii ngoma nasikia harufu ni nyimbo ya kawaida sana...kuanzia content flow hata beat ila nasikia wana kitaaani wanasema ni ngoma kali sanaaa
Mbaya zaidi wanasema chid benz kamfunika Roma lakini...
Pasi na shaka kwa waliobahatika kuitazama series ya GAME OF THRONES mpaka mwisho watakiri kua kwa upande wa mpnagilio wa matukio wahusika mzingara story..... ile series haina mpinzani
Ni series...
Leo utahonga laki, kesho atataka dola.
ukimnunulia mishkaki, atadai na kijora.
yani hawasomeki, ni nyingi zao hila.
michekupo hawaridhiki, zitaisha zako hela.
Utampeleka samakisamaki, ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.