Hawa jamaa miaka kama 12 sijawahi waangalia siku za Hivi karibuni nilitumiwa picha na wife akisema hili ni jini la bongo movie. Nikajua ni utani wa bibie.
Basi Kwa siku za Hivi karibuni nikasema...
Haya ndiyo mapambano ambayo nina hamu sana kuyaona.
1) Terence Crawford vs Error Spence (Truth)
2) Terence Crawford vs Gervonta Davis (Tank).
3) Gervonta Davis vs Vassily Lomachenko
4) Andy...
Inasikitisha sana licha ya Tanzania kuwa Taifa lenye vijana wengi wenye vipaji vingi pia.
Lakini hatuna vijana wengi wanaojulikana kimataifa kama mataifa mengine, Tukiangalia mataifa mengine Kama...
Salamu nimemwachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa!, Kwangu mambo yote ni Shega!
Ndugu zangu naomba walio angalia movie ya OPPENHEIMER waniambie ni movie inayohusu kitu gani maana...
Mzee Ngowi na Bi Sikitu ni wapenzi walio pendana toka shuleni wakiwa watoto, mpaka wakaoana. Baada ya kustaafu waliamua kurudi kuishi eneo waliloushi zamani walipokuwa wadogo, na kusoma.
Siku...
Ni ijumaa ya mwisho ya mwezi huu wa tano, watumishi wa umma na sisi wa sekta binafsi sote tumejidamka zetu makazini kama kawa, si unajua tena… Mambo ya kuwajibika. Mambo yote yamekwenda sawa, ila...
Wanabodi,
Nisipoteze muda, anaejua lyrics za huu wimbo ntakazobahatisha kuziandika hapa naomba anitajie jina la wimbo...nautafuta sana niupakue.
"Mpenzi wangu Rhodes
"Kama ni makosaa, oa...
Bila ya kupoteza muda mwaka 2023 ulikua wa moto sana kwny upande wa muziki na hii ndo List yangu..
Nyimbo Bora 2023 kwa upande wangu(hii list ni zigzag siyo mpangilio maalumu)
1.Mahaba-Alikiba...
Kwenye ulimwengu wa Sinema kumekuwa na ubishi kwamba Michael Scofield ni akili kubwa kuliko Raymond Reddington and Vice Versa.
Naomba tuumalize ubishi hapa, je ni nani kati ya hawa wawili ni...
Nimeingalia movie ya EONII lakini haijanifurahisha kabisaaa. Advertisement waliyofanya AZAM ni kubwa sana lakini movie sifuri. Teknolojia iliyotumika ni kubwa kuliko movie yenyewe.
Characters...
Tunapiga vita mmomonyoko wa maadili kila siku. Tunalalamika katuni na vitabu vinavyoletwa kwetu vinamomonyoa maadili. Lakini wakina JOti, Masanja ambaye pia ni mchungaji na wenzie tunaowaona...
SEHEMU YA KWANZA
KANUNI ZA MSINGI ZA JINSI YA KUSHUGHULIKA NA WATU
KAMA UKITAKA KURINA ASALI USIPIGE TEKE MZINGA
Tarehe 7 mwezi wa tano mwaka 1931 kulikuwa na msako wa aina yake wa mhalifu...
Ferre gola - 100 kilos OG
Ferre gola - 100 kilos Remix
------------------Vita Imana OG
------------------Vita Imana Remix
------------------Kipelekese OG
------------------Kipelekese Remix...
Kitumbua cha asubui, kina raha yake.
Watoto wadogo hawajui, kinavyotutoa upweke.
Usiombe kikiwekwa tui, utakula usichoke.
Ninyime vyote asubui, ila kitumbua ukiweke.
Usikifunike baibui...
Wapenzi na wafatiliaji wa movies nina swali kuhusu hii movie ya money heist/ La casa de papel, toka ilipoishia season 5 netflix walisema hakuta kuwa na seoson lakini baadae wakaja kusema kuwa...
Noma! Hayawi hayawi, leo yamekuwa. Baada ya kutikisa kwa seasons tatu mfululizo, La Casa De Papel au Money Heist imerudi tena mjini na NetFlix washaweka Season 04 kwenye platform yao...
Mambo vipi wakuu bila Shaka mko good ok, leo nimeona niwaletee hii app kwa wale wapenzi wa movies Aina zote basi app hii utapata mpaka season cha kufanya ni kwenda Google search then pakua au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.