Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

"Trust In You" Letting go of every single dream I lay each one down at Your feet Every moment of my wandering Never changes what You see I’ve tried to win this war I confess My hands are weary I...
23 Reactions
354 Replies
52K Views
Wakuu, Nazipataje movie zilizotafsiriwa kwa Kiswahili online, kama kuna website yeyote ile.
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari wakuu Kwa wafuatiliaji wa movie zilizotafsiriwa kiswahili nadhani hili jina sio geni. Ila kwa miaka ya karibuni sioni tena movie zake mpya. Wapi aliendaga?
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Kama Uliangalia Jolt Basi Hii moto sana Movie ina action za kutosha Binti Anadunda Balaa Binti Anapewa mafunzo makali tokea akiwa mdogo na Bwana varriK (V) Jamaa anaanza kumtumia kate kwenye...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Ladies and gentleman its your boy selemani sele mzee wa mastory,kinachokuja mbele yenu ni story ya maisha na mziki ni story fupi natumai watu watajifunza. MAISHA NA MZIKI Episode 1. (KUZALIWA)...
1 Reactions
2 Replies
789 Views
Wakuu, Kuna nyimbo za husen jumbe nazitafuta sana bila mafanikio. Nilizisikia zamani sana wakati mtoto sasa zimeganda kichwani. Naombeni mnisaidie kutaja band ambazo ameimba nazo au...
0 Reactions
5 Replies
411 Views
Nimeiangalia hii series nimeipenda sana!! Maisha na watu wana siri kubwa Kuna series za hivi nyingine
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Wakuu habari za wakati huu. Samahani naomba kufahamu je kuna application yoyote au site yoyote ambayo inaweza kunipa synopsis kwa ajili ya kufanya short swahili movie reviews. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
389 Views
Mwenye kujua katuni flani hivi ilikuwa ikioneshwa ITV wanaingia kwenye kitu kama Elevator hivi afu wanaenda kupigana na wadudu mbalimbali pamoja na monsters mbalimbali. Nkumbushe jina ya hii...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Mzee Juma alikuwa amekaa nje ya nyumba yake asubuhi anakunywa pombe. Mudi jirani yake anapita na kumuuliza, "Juma, kwa nini umekaa hapo asubuhi yote hii ukinywa pombe?" Juma: Kuna baadhi ya...
11 Reactions
40 Replies
2K Views
Walikuwa na sauti za kuvutia na za kipekee, mwenye audio tafadhali anaweza kupandisha (ku-upload nyimbo husika) Maunda Zorro - Nataka niwe wako Vumilia (Vumi) - Tatizo umasikini Weka orodha...
4 Reactions
45 Replies
10K Views
Mzee wangu anaamini sana kwenye kilimo, nahofia nikimuomba mtaji wakuipromote app yangu ataona huyu kijana ananiletea utandawazi nyumbani kwangu. Ninamsimamia kazi yake moja huku Dar, yeye yupo...
1 Reactions
0 Replies
231 Views
...
0 Reactions
4 Replies
551 Views
Hahahaha ah vijana sasa hivi naona wanajitahidi Ari Mpya Kasi Mpya Nguvu Mpya Ehee hata mimi nimeliona hilo toka longi taim Au siyo Babu Ayubu Hilo liko wazi Jamani vijana wapewe nafasi Si ndio...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya mistari au beti za nyimbo za wasanii wetu wa kizazi kipya ambazo ukizisikiliza kwa umakini lazima uondoke na tashwishi. Lakini kubwa zaidi ni pale unapojaribu kuusikiliza wimbo...
0 Reactions
6 Replies
802 Views
Leo nilikuwa nasaka kitabu kipya chochote cha kusoma, ila kiwe cha kipelelezi na mapigano, nikakutana na kitabu kipyaaaa! Quality nzuri cha Musiba kiitwacho hujuma. Kilikuwa kimefungiwa kitabu...
1 Reactions
12 Replies
7K Views
>>>>>EPISODE : 01<<<<<<<<< JINA LA STORY: GAMBOSHI (Malkia wa wachawi) MTUNZI: MOSSES AGREY SEASON : 01 EPISODE: 01 Whatsapp No.: +255687409189 call/Text:+255687409189 * GAMBOSHI (Malkia Wa...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
January iliyo dumu kwa kipindi kifupi kuliko N-j-a-n-u-a-r-y nyingine zooote Kuna asilimia ngapi kuhusu hili kwa upande wako?
1 Reactions
3 Replies
253 Views
Mtunzi.Patrick CK Season 1.SIRI Simu.0764294499 Ndege ya shirika la ndege la Tanzania ilitua katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam ikitokea nchini jamhuri ya...
13 Reactions
1K Replies
489K Views
Back
Top Bottom