Muendelezo wa john wick bado ni moja ya movie nazozipenda sana sio mamilion ya watu wanavutiwa na hii movie.
Kilichonivutia kwenye hii jamaa sio insane wala tributal martial art lakin anapiga kwa...
Mwandishi: J.K.kiimbila
MFALME BINTA NA RAIA ZAKE _1
Hadithi hii inaanza Zama za Giza _ jina la kukebehi katika Afrika. Wakati wanadamu walipoabudu miungu wengi lakini wakaendelea kuamini juu ya...
Lawyer wa kimexico ambae familia yake iliuliwa na boss wa kundi la madawa ya kulevya na uharifu anaamua kuungana na task force moja ya marekani huku yeye akiwasaidia intel za kuangusha drug...
Harmonize ametoa wimbo mkali, lakini bado beat na production za Tanzania hazipo kwenye kiwango sahihi na Wala haziendi na wakati, beat ni ya kizamani na production ni low quality.
Harmonize...
Nyie watu wapenzi wa movie aloangalie hii achambue ni kama inatisha hivii na ina code kibao hivi wachambuzi mkuje tuchambue hii movie sio mpira tu [emoji12]
Kwa utoto huu anaofanya Konde Boy ndio tuendelee kumuweka kwenye mizani sawa na la Masimba Dangote [emoji3063]?
Konde Boy anakipaji kikubwa sana akiacha kukurupuka kwa stress za wasanii wengine...
Kama wewe ni mtumiaji wa mtandao wa Tik Tok basi tambua kuwa Kuanzia sasa muziki wowote unaomilikiwa na Universal Music Group hautakuwepo kwenye orodha ya nyimbo za kutumia TikTok. Video za zamani...
RAFIKI WA KWELI;
LYRICAL AND NATURALLY GIFTED AFRICAN (LANGA) MENGISENI KILEO
1. "HAKUNA MC ANAYENISHINDA KWA HIP HOP "
2. " HIP HOP NI UKWELI NA UWAZI, KUKU KAPANDA BAISKELI HAIKUSHANGAZI"
3...
JUMA MCHOPANGA,JAY MOE Habari nyingine, Cheki hapa SOLO THANG Anvyokimbizwa kwenye WERE ARE FAMILY.[emoji91][emoji119]
Tatoo sio Nyingi kama P FUNK ila mi mpenzi wa MAJANI/
JAY ndio mimi MASTER...
Mwaka jana 2023 niliamua pia kusoma vitabu vya riwaya za kiswahili ambapo niliegemea zaidi kwenye zile za ujajusi. Katika hizi niliamua kusoma riwaya za waandishi watatu
1. Calvin Mponda
2...
movie ambayo inamuonesha jason mzee wa ngumi za kutosha ambaye ni mtandao wa siri wasio julikana ndani ya serikali nyingi duniani.
tuje kwenye mada: kiufupi ukiangalia hii movie iliyotoka 2024...
Finally Msanii Harmonize ameuachia wimbo wake wa "I made it" ambao kawashirikisha wasanii Bien wa kenya na Bobby Shmurda toka States.
Huu wimbo ulikuwa unasogezwa siku mbele kuachiwa, sio mara...
Wakuu
Kitambo Fulani pale Kenya ulihit sana wimbo kwa jina la Stella ..
Wimbo huo ulioimbwa na mtu aitwaye freshley mwamburi ni kisa cha msichana aliyeitwa Stella , ambaye alipelekwa japan na...
SIMULIZI YA MAISHA : Mzigo wa Bosi uliharibu maisha yangu.
MWANDISHI: Gilbert Evarist Mushi
PHONE: +255621249611
SEHEMU YA 01
Kwa Majina Naitwa Gilbert Mwaitika, Nina umri wa miaka 25...
Nimekaa kwenye ofisi na siyo ofisi ndogo,ofisi kubwa sana,Tena ninaimiliki mwenyewe iliyosheheni furniture za thamani na kila kitu nilichokuwa nakitamani muda wote wa maisha yangu,ninayo Amani ya...
Sehemu ya kwanza
Habari za wakati huu,
Niite Mark ni mtu mzima nilikuwa na mke na watoto 6. Nimzaliwa wa mkoani Kilimanjaro, moshi mjini Njoro. Elimu yangu ilikuwa ya kulenga kwa manati...
Kwa wapenzi wakuangalia Movies, ni Kampuni gani kati ya hizi ukiiona kwenye movie unakuwa na hamu ya kuangalia hiyo Movie.
Mimi ni WB (Warner Bros)
Boqin Naomba ubadilishe Thread Title...
Hi guys nyimbo Kali nyingi zilitungwa kipindi hicho kama vile
1)Dynamite ya taio Cruz
2)International love ya pitbull ft Chris brown
3)Coconut tree ya mohombi
4)Bumpy ride ya mohombi
5)Moves like...
LANGA alikuwa Msanii wa Hip-hop hapa Bongo,Alijulikana sana kupitia mashindano ya Coca-cola Pop Star akiwa na wenzie,1.Sarah Kaisi - Shaa2. Witnes Mwaijage - Witness3.Langa Kileo - LangaNgoma yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.