Kulikuwa na bifu lililotikisa miaka ya mwanzoni ya 2000 kati ya TMK na east coast, kipindi hiko watoto wengi wa 2000 ndo walikuwa wakitungwa so hawajui lolote.
Gk kupitia truck yake kali ya hii...
Let me go bare knuckles.
Our majirani (Tanzanian) are needful lot. They depend on The Storybook, a show on Wasafi TV, hosted by Jamal April who translates Wikipedia stories to Swahili while...
Binafsi nmeona vitu vitatu Kwa la masimba dangote
1. Baada ya zile tuhuma za Kwamba mwamba anawavimbia wasanii wa kibongo Sasa kaamua kuwapa airtime wabongo ...mind you alianza na jux.....Gnako...
Hapa ni maduu, mabitozi na machizi wa kipindi hiyo.
Hili goma la mtu mzima joslin lina kukumbusha wapi na tukio gani ?
Hili goma lina historia nami nzito sana kila nikikumbuka huwa nabaki...
Kuna wimbo unaitwa "Huu Mwaka".
Kiukweli huu wimbo leo ndio mara yangu ya kwanza kuusikia. Nimeshangaa sana kusikia muimbaji akisema "Kudanga Danga sana ila usisahau kujenga kibanda"
Wimbo kama...
Licha ya kutafuta sana mitandaoni sijafanikiwa kuona kazi za hapa karibuni kutoka kwa hawa wadada wawili, kazi zao ni zile zile za zamani.
Hivi bado wapo kwenye tasnia au walishastaafu?
Kichwa kinajieleza, Kuna baadhi ya muvie na simulizi ukiziangalia basi unajikuta umewakubali sana baadhi ya wahusika. Kwa mimi ni kama ifuatavyo:
1. Pedro Alonso/Berlin - Money heist
Jamaa ana...
MAMA’KE MAMA - 1
IMEANDIKWA NA : GEORGE IRON MOSENYA
********************************************************************************
Simulizi : Mama’ke Mama
Sehemu Ya Kwanza (1)
Laiti kama...
Naona vipaji vya kawaida sana na hawazitendei hali nyimbo wanazoimba.
Kuna wimbo aneimba Allan nipeni dili,uliwahi kuimbwa na mshiriki mmoja binti alikiwasha sana na ninakiri mimi ndipo nilianza...
Sehemu ya kwanza:
Nilikua peke angu chumbani, ni siku muhimu kwangu kuliko siku zote nimewahi ishi katika umri huu wa miaka ishirini na moja, mwanaume niliempenda sana tangu nikiwa kidato cha...
Bongo movie mjitathimini , Tamthilia ya Huba leo ni siku ya nne inarusha scene ya safari toka Zanzibar to Dar .
Humo ndani siku zote hizo nne hakuna cha maana kinarushwa humo ndani ya ndege zaidi...
Kuna msanii wa nyimbo za injili jina limenitoka kdg alishawahi kuimba "Baba wew ni wakuaminiwa, hubadiliki milele na milele hata nikibadilika wew unabaki yule yule hata nikikengeuka wew utabaki ni...
Hakuna watu wanaona ni wataalamu wa hizi kazi na wao ndio wanajua kama washabiki wa dizasta vina, bob Marley, wasikilizaji wa Hiphop, wapenzi wa movie za kijasusi.
Wanaonaga wengne kama mazuzu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.