Katika mahujiano ya jana kwenye Radio One kipindi cha michezo usiku khoja za Wambura zilirejewa na kuungwa mkono na baadhi ya watangazaji na wasikilizaji wakati ni hoja zinazokinzana na sheria za...
Last time I went to Unguja; I must admit, I felt safe and secure and at no time I had any lingering thoughts that my life was in danger and that was 2004. And in comparison with my regular trips...
Kuwalaumu wanafunzi au waalimu pekee ni kutafuta majibu mepesi kwenye maswali mazito. Lengo la elimu ni kukulainishia maisha lakini kama ukiwa nayo na yule asiyenayo nyote mnarundikwa kundi moja...
Serikali ya nchi zilizoendelea zina mipango na miongozo maalumu kabisa ya kuwatambua na kuwatumia watu wao walio katika taasisi za juu za elimu.
Watu hawa ni ma Professa pamoja na wanafunzi wao...
Katika mchango wake wa hivi karibuni juu ya Katiba Mpya, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Sefue amekuja na hoja kwamba Kupunguza Madaraka Ya Rais Ni Hatari Kwa Usalama Wa Nchi, na kusisitiza kwamba...
Sababu kubwa zinazohisiwa na watu kwa matokeo mabaya ya form four mwaka huu ni mgogoro kati ya serikali na walimu na ubovu wa shule za yeboyebo.
Hata hivyo nadhani inabidi tujadili zaidi ya hapo...
Tumeshaelewa hoja ya Lowassa, nadhani sasa ni wakati wa kuelekeza juhudi zetu katika kutafuta ufumbuzi wa kudumu; Ni muhimu tukampongeza Lowassa kwa kuwa kiongozi wa kwanza nchini kulipa suala...
Kwa kufeli huku kwa wanafunzi wa Kidato cha nne (wote siyo watoto) ni lazima tufanye uamuzi ama wa Kutumia Kiingereza au Kiswahili Kufundishia Maarifa kwenye taasisi zetu za Elimu. Kama maarifa...
Kila siku ninapoamka nakuzitizama siasa zetu, huwa najiuliza swali moja kama kweli kama taifa bado tunahitaji kuendelea kuwa na wanasiasa wa aina hii tuliyonayo. Kiuhalisia kila kitu Tanzania...
Since the departure of Mwalimu Nyerere from power in 1985, it has become customary for Tanzanians to denounce their political leaders as being ‘arrogant' and ‘corrupt'. Strangely...
The new ccm cc team that JK has unveiled yesterday is pregnant with intentions of where JK hankers to take the nation to. For beginners, since we gained our independence in 1961 no president has...
Spika Anne Makinda ambapo kuukwaa uspika ilibidi "awezeshwe" na JK kupitia rafu kibao sasa ameonyesha hana sifa wala uzoefu wa kuliongoza Bunge hili ndani ya utamaduni wa vyama vingi.
Tatizo...
Kuna duniaya kazi na uwajibikaji. Kila binadamu ana wajibu fulani kwa jamii yake, familia yake, na kwa Taifa lake.
Mambo yote haya yanapelekwa mbele na kitu kimoja, Mapenzi ya kutaka kuona...
Kila tunapopata wasaa wa kujadili uchumi na hali za maisha ya watanzania, tumekuwa na jadi ya kuangalia zaidi hali ilivyo kitaifa na kisekta (MACRO LEVEL), bila ya kujadili sana hali na takwimu...
Utangulizi
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaendeshwa kwa Kanuni zikisomwa pamoja na Ibara mbalimbali za Katiba ya JMT,1977 (kama inavyofanyiwa marekebisho mara kwa mara). Kanuni za...
Kila binadamu anastahili kuwa na Taifa lake. Anastahili kuwa na nyumba yake na familia yake. Taifa kama nyumba ni lazima vijengwe juu ya matumaini na upendo.
Familia ina haki ya ukuaji kama...
Na TheAnalyst
Kila linapotokea jambo zito hapa nchini, kunajitokeza pande nyingi za wadau, ambao kila mmoja hudai kuwa na mantiki ya kuelezea kiini cha jambo hilo, huku wale wenye kuujua ukweli...
Daraja la Mkapa na bado yuko hai, na lipo Daraja la Kikwete........misifa hii haina tija hata chembe!
Jk na wapambe ndani ya ccm..............
Kiu ya JK kukumbukwa inazidi kushamiri na sasa...
Tangu Bunge la awamu hii lianze, kumekuwa na wingu kubwa la upuuzi unaondelea kiasi cha kuanza kutia kichefuchefu. Siku hizi ni rahisi sana kubashiri nini kitatokea leo bungeni na si kama...
Waziri Membe atangaza kutogombea Ubunge tena
History has a penchant of repeating itself in the strangest of circumstances: Who would have known neither Malecela nor Kolimba will be in the...