SERIKALI imesema haitowalipa fidia wakazi wa eneo la Mradi wa Mji Mpya Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Tamko hilo, lilitolewa bungeni jana na Naibu waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi...
Baada ya vurugu za wamachinga wakidai haki zao za msingi na wakitoa shinikizo kuwa hawataki kuongea na mtu mwingine yoyote zaidi ya rais wao sugu.wakidai kuwa hali itarejea ikiwa haya yafuatayo...
Katika kile kilichoonekana kama ni muendelezo wa wananchi wa Arusha kuikataa serikali, muda mfupi uliopita dereva wa daladala iliyokuwa imesimamishwa na polisi pamoja na gari nyingine eneo la Aicc...
Mjini Mbeya matukio ya upigaji Nondo yameibuka tena, askari wawili wa FFU wamepigwa nondo na mmoja amefariki dunia na mwingine yupo hospitali.
Sasa ni mshikemshike maana shughuli zote za...
Jamani kila siku napakua michuzi blog lakini sijawahi kukutana na taarifa za mapambano ya kuiokoa nchi yetu. Kila siku yeye na wasanii, kama ni habari za siasa utakuta ni chama cha ccm tu. JE YEYE...
anzania has been spared the internal strife that has blighted many African states.
Though it remains one of the poorest countries in the world, with many of its people living below the World Bank...
VYOMBO vya habari vimepigwa marufuku kurusha matangazo yanayohusiana na biashara ya waganga wa kienyeji wakiwemo na wanajimu.
Yameazimiwa hayo katika mkutano uliowakutanisha wadau wa vyombo hivyo...
umevaa jeans la mtumba; used. Unaendesha gari 'used'. Na hata hii post unaisoma kwa kutumia laptop 'used'. Iweje sasa upinge serikali kununua vitu 'used?'
Naam niko huku kanda ya kaskazini.
Niko ofisi fulani hivi! Nashangaa wingi wa vijana nikajiuliza kulikoni! Eti wanajiandikisha kuwa waigizaji! Loh tena wanalipa ada ya kujiandikisha! Shs kila...
Ndugu watanzania mliopo hapa Jf ninadhani kitendo cha wakuu wa mikoa naJeshi la Polisi na Mahakama kudhulumu haki za watanzania ni kitendo cha kulaani mpaka kufa. Huu ubaguzi wa aliye nacho na...
Wana jf jana nimebahatika kuingia kwenye ofisi za barrick north mara lakini nilisikitishwa sana kuona kanga yenye picha ya mwl j.k nyerere ikiwa na ma maandishi TUMUENZI NYERERE 1922-1999.kimsingi...
Leo nilipita kwenye hili tawi la M-pesa kujaza akaunti yangu, baada ya kuhesabiwa kwenye kimashine chao ambacho mteja hukioni nikaambiwa eti zimepungua alfu 10 wakati hela nimetoa benki,
Sitaki...
Man arrested for having sex with goat
A thirty five year old man is currently admitted in Soroti hospital after an angry mob beat him up for allegedly having sex with a goat that later on died...
Dah! kila nikimwangalia ongea yake na vtendo vyake nikimweka group la wakaka hafananii, la wadada haelekei yani yuko kama gia 1 hakai 2 hakai 3 anafyetuka ndo mana nimeuliza naye anakameruniwa...
hivi channel gani ya Television ni nzuri for our local news? ITV wananiboa. bila kumwonesha Mengi kwa nusu saa, taarifa haijakamilika, TBCCM ndo huwa siiangaliagi, utadhani haina wawakilishi...
kandoro kila anapoenda anakumbwa na maandamano na ya wamachinga kwanzia mwanza na sasa mbeya kulikoni!kuna matatizo meng sana ya kudili with kama upigaji wa nondo na kuungua kwa masoko!wachen...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.