Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
wakuu kama kunge kuwa na Tuzo ya mpambanaji wa mwaka hasa kipindi hiki tunapoenda kumaliza mwaka basi mimi ningependekeza hao hapo juu wa pewe kila mmoja.Nianze na Saed kubenea ni mwandishi mwenye...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
kuna hamishahamisha inaendeleo huko ngaramtoni, wananchi wamegoma kupisha eneo ambalo hospital isiyoweza kupima hata maralia inataka kujengwa ni ya aga khan..polisi imebidi waongeze nguvu kutoka...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
11/11/11 in pictures: an auspicious day around the world Twin babies born at at a hospital in Ahmedabad. The girl (left) was born at 11:11:11am on 11/11/11, and the boy (right) at...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
DAKTARI CHUNYA KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KOSA LA KUKATA MGUU WA MGONJWA NA KUUTOROSHA WAZIRI WA WIZARA YA AFYA DR.HAJI MPONDA HOSPITALI ya wilaya ya Chunya mkoani Mbeya imeingia lawamani kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
hi serikali ya Kilawa na wenzake ni majuha sana yani Mpaka leo hawajawatoa wenzao 46 akati hawana makosa na wameshkwa ndan ya chuo. wadau kilawa na wenzake wapigwe dwn
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Amiri jeshi wetu AWOL JK anaweza kweli kutuongoza kimapigano kivita?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni mara chache sana kwangu kuangalia mijadala ya bunge letu 'tukufu' kupitia tv. Hata zile mara chache ninapoangalia bunge nikikutana na wabunge hawa lazima nibadilishe channel: Magreth...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Mjusi Kafiri ana tabia ya kukaa kwenye jiwe na/au kupigapiga kichwa chake juu na chini. Kwa kawaida ni muoga mno kwa binadamu. Ila ukimfukuza hadi akachoka uoga wake huisha na kugeuka na kuanza...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Napenda kuchukua fursa hii kuwataka UDOSO,kutoa Tamko kabla ya j5,hatima ya Wanafunzi 511,waliosimamishwa Masomo Udom. Nakutambua Rais wa UDOSO hata kama ni Wewe ni msichana Onyesha unaweza.
0 Reactions
35 Replies
3K Views
I recommend that the ruling party either changes its name to make it no longer reflective of nothing (since no revolution/mapinduzi is on record as being behind its birth back in 1977) or retain...
0 Reactions
1 Replies
814 Views
Tulipo taka kuandamana kupinga malipo kwa Dowans mlitupinga kwa kisingizio cha tishio la kushambuliwa na Al Shabab. Siku ya mechi ya Simba na Yanga mlikuwepo wengi tu pale uwanja wa Taifa. Sasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi kwanini wanasiasa uwa wanaamini kuwa hoja zao ni za ukweli kuliko za watu wengine. Hebu kumbuka selina kombani aliposema hakuna haja ya katiba mpya iliyopo inatosha. Alikua sahihi kwel?
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Kumetokea mapambano makali muda huu na yangali yakiendelea. Mapambano hayo ni kati ya askari wa JWTZ na Polisi. Mapigano hayo yalianza baada ya kusemekana kuwa wanajeshi walikuwa wanapiga raia...
2 Reactions
56 Replies
10K Views
manake wazanzibari hawataki muungano, ila tunalazimisha tu. Kuna nini hasa tunachotafuta? Au ndo kuenzi waasisi wa Taifa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna avatar nimeimiss ipo kama mwili wa mwanamke lakini ikachakachuliwa ikaonekana kama bouncer flan ivi. Naomba mwenye nayo aniwekee tafadhali.
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu leo nimepata kusikia kituo kimoja cha redio kikitangaza kuchangia damu mnazi mmoja kwaajili ya akiba kwa wagonjwa na wagonjwa huwa wanapewa bure pindi wanapohitaji. Naomba kujua kama kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu nasikia bado vurugu zinaendelea tena huko mbeya.tafathali mwenye talifa zaidi atujuze. KWA MSAADA WA EMT wa JF: Mkuu wa Mkoa Abas Kandoro akiwa na waandishi wa habari muda mfupi...
3 Reactions
204 Replies
21K Views
10. ASIS – Australia FORMED13 May 1952 HEADQUARTERSCanberra, Australian Capital Territory, Australia ANNUAL BUDGET$162.5m AUD (2007) MINISTER RESPONSIBLEThe Hon. Stephen Smith MP, Minister...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
hi wana JF, Please vote for... kesho wanatangaza washindi mpo nimeangalia design za swahili fashion na mtu anayejituma kujifunza zaidi na kuweka muda na kutumia mengi ili ajue nini zaidi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Vurugu zilizofanyika jana na mapema leo zimesababisha watu 235 wakamatwe..Mkurugenzi asema chanzo sio Wamachinga kama habari zinayosambazwa, ila ni kikundi cha watu wametumwa na kushawishiwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom