Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wawili mbaroni kwa kuwa na noti bandia zenye thamani ya sh. milioni 1.7/- Ivi hela ya bandia inakuaje na thamani? Kama zinathamani,,kwanini zinakamatwa? au kwanini serikali isizihalalishe?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je wajua meya wa kichina katika zama hizi? Meya wa kichina alianza kuuvuruga mji wa Arusha mara baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana ambapo taratibu na kanuni za uchaguzi wa mayor...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tulipo taka kuandamana kupinga malipo kwa Dowans mlitupinga kwa kisingizio cha tishio la kushambuliwa na Al Shabab. Siku ya mechi ya Simba na Yanga mlikuwepo wengi tu pale uwanja wa Taifa. Sasa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Yanayoendelea sasa katika nchi yetu, mwasisi wa Taifa hili alishayaona na ili kunusuru nchi pamoja na kizazi hiki alichukua hatua ya kutoa WOSIA kwa watanzania katika kitabu chake cha Hatima ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau mwishoni mwa wiki(ijumaa hadi jumapili)nilikua safarini,nilikwenda Ifakara ambako ni makao makuu ya wilaya ya KILOMBERO,safari hii ilikua ni ya kibinafsi! NILIYOYA0NA HUKO -Jimbo la...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MWANAUME mmoja ambaye jina lake linaendelea kuhifadhiwa, ameonyesha kitendo cha ukatili cha kumfukuza usiku wa manane mkewe akiwa na kichanga baada ya kumkuta na boksi la mipira ya kiume...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Askofu wa KKKT dayosisi ya kaskazini Dr Laizer anamtambua Mheshimiwa Gaudence Lyimo kama meya halali wa jiji la Arusha.Uthibitisho nimehushuhudia mwenyewe kwenye kadi ya mwaliko toka kwa Askofu Dr...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
wazee, nimegundua watu huanza maandamano na ari na moral kubwa sana lakini hutawanywa na kikund kidogo cha 4m4 failiers. Watu waangalie SARAFINA kujenga ari na kupata skills za ukombozi. albaba...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Taarifa kutoka Jijini Mwanza ni kuwa Mvua kubwa inaendelea kunyesha na maji yamefunika uwanja wa ndege ,UMEFUNGWA Kwa video clip tazama Star TV saa 7:00 mchana dhk 15 kutoka sasa Byabato
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Wana JF Nawasalimu na kuwatakia siku Njema yenye mafanikio. Kuna mengi niliyo jifunza kutokana na matatizo yaliyo tokea Mbeya baina ya serkali na Machinga. Machache kati ya mafundisho ni haya...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wana JF,Nimekuwa nikifuatilia vipindi mbalimbali juu ya mswada wa katiba mpya katika television vinavyowakutanisha makundi mbalimbali ya jamii kama vijana,wazee,wanawake ,watoto wenye umri na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ongezeko la vijana wanaojulikana kama flycatchers hapa Arusha linaonekana ni tishio kwa utalii wa mji wetu na kwa nchi yetu kwa ujumla.Mwanzo walianza kama njia yakusaidia watalii kuwafahamisha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Miongoni mwa vitu ambavyo watanzania tumabaki navyo ni lugha yetu ya kiswahili lkn tunakoelekea tunaiua sisi wenyewe, ebu cheki haya makosa tufanyayo kila kuitwapo leo kwa kuiondoa herufi 'h'...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Babu afya yake imeimarika! Na safari za kwenda Loliondo bado ziko..............
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakati kasi ya uingizaji magari nchini ikiongezeka na namba za usajili zinaenda pia kwa kasi hiyohiyo;Mimi ni mwana mageuzi sasa nawaza hapo mwaka 2015 nategemea kununua gari yangu, je iwapo namba...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari JF, Yule jamaa aliyejitambulisha jana kwamba ni mpemba alidanganya umma,mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa habari na midahalo,yule jamaa mara nyingi huwa anaudhuria kipindi cha mpambano wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za j2 wana jamvi ktk tafakari yangu ya leo nimejiuliza ili mwanaume kufika aumuzi wa kuoa ni bora angeenda kijijini kuoa au ni bora aoe mjini nikidhani either upande mmoja kati ya mjini au...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Aliyekuwa Mshauri wa Uvuvi Mkoa wa Kagera hadi 2007 Japhet M. Kayungi (1947-2011) amefariki leo katika hospitali ya Mugana Bukoba(V) alikokuwa anapatiwa matibabu. Kayungi atakumbukwa kwa mchango...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wanabodi, Nikifuatilia Bunge live on TBC, matangazo yalikatika na TBC wakaanza kurun promo zao na matangazo mbalimbali. Nimeona Tangazo kuwa wiki hii, TBC itafanya mkutano mkubwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tumesikia sehemu mbali mbali chadema wakiitwa wahuni au chama cha kihuni pia kumekuwa na shutuma sehemu mbalimbali hapa nchini kuwa ccm wanatesa wanachi na kuua napenda kuuliza swali mhuni na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom