Tigo mtandao huu jaman siku hizi ni matatizo matupu hapa musoma,network ni tatizo kubwa sana,yan muda mwing mtandao unafel hata mtu ukiwa na emegence unashindwa kufanya mambo yako. Leo nahamia...
Kuna thread moja inazungumzia kuhusu Escape from Sobibor, mtoa mada kazungumzia kuhusu nguvu ya umma ambayo hiyo film ndani yake kafananisha na nguvu ya umma, wachangiaji wengi wametoa maoni yao...
Jamani mimi ni mwanachama damudamu wa ccm ila nina miaka kumi na moja ndani ya chama hichi na ni mmoja kati ya muasisisi niliyekuwa nikiwashawishi watu waipende ccm mtaani na kwenye majukwaaaa...
tumeshuhudia wataalam wawili wa sheria hapa nchini wakitoa ufafanuzi juu ya njia bora ya kuandika katiba, kwa kuwa wametoa ufafanuzi kila mmoja kwa wakati tofauti huku umma wa watanzania...
WABUNGE wameitaka Serikali kutoa maelezo ya vurugu za Machinga zilizotokea mwishoni mwa wiki iliyopita mkoani Mbeya na hatua ya askari wa JKT kambi ya Masange, kuvamia Soko Kuu la Tabora...
Jamani naombeni kujua anayejua hali za hawa wanasiasa walioko huko India ziko vipi, au kama walisharudi Bongo niambiwe. Kwa sababu kama Mwakyembe alivyoondoka tulikuwa tunapata updates kila...
Nimeshindwa kuielewa hukumu ya aliyopew mh.mmoja mbunge wa jimbo moja la huko Nyanda za juu kusini.Amethibitika kuua kwa kukusudia lakini amepewa hukumu ya kulipa laki kadhaa au kifungo cha miezi...
Kuna hoja nimeipost jukwaa la sheria lakini naona kijiwe kile ni kama hakina wateja wengi nimeamua kuiweka hapa sebuleni ili wenye ufahamu na mambo haya watusaidie.
Issue yenyewe wote...
Kauli mbiu ya Miaka hamsini ya Uhuru wa Tanganyika ni danganya toto na ni uongo wa mchana. Jinsi mambo yalivyo kwa ujumla wake,si uhaini kuwalisha watu kauli mbiu kama hii?
Nimekuwa nikufuatilia hoja mbalimbali hasa kuhusu mustakabali wa uongozi wa nchi yetu. Moja ya hoja hizo ni kuwa kunaombwe la uongozi ndani ya CCM chama tawala kama kinavyopenda kujiita na nikweli...
Ni kama kawaida lakini inasikitisha na kukatisha tamaa sana.
Baada ya wiki chache tangu kuanza tena kuruka hewani, shirika ndege Tanzania (ATC) limeanza kuonyesha dalili zote kuwa halijapona...
Mh. Anna Makinda anaposoma dua kabla ya kikao cha Bunge huwa anaamini anachosoma?
Kwa uelewa wangu anachofanya ni kusoma dua na sio kusali/kuswali. Kunatofauti kati ya kusoma dua na...
Nimetafakari kwa kina matukio yanayo tokea kwenye bunge letu linaloendelea najiuiza maswali mengi sana kutokana na matendo na mienendo ya bunge hili la jamhuri ya muungano wa tanzania. maswali...
Ndugu wadau hivi kwa hali inayoendelea bungeni uundwaji wa katiba mpya unawezekana kweli? Napata mashaka kwa sababu zifuatazo:
1. Katiba zote zilizopita ambazo zinamapungufu zilitungwa na chama...
Ule muswaada ulikuwa ukisubiriwa kwa hamu wa ppra wa kununua used,scrapper,recondtion na maneno mengine yenye kufanana na hayo ruksa! Ilikuwa tangu zamani lakini kimya kimya! Lakini sasa,ruksa...
Nimesoma thread Moja ikatamka Dr slaa hatambuliki kimataifa,Mi nakujibu kuwa Anatambulika ndani ya Mioyo ya Watanzania wenye Uchungu na Ukombozi wa nchi hii kutoka kwa Wakoloni Weusi Magamba au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.