Je, hata hao waliorudisha shilingi bilioni 53, shilingi bilioni 60 ooh! hakuna anayejua kiasi halisi kilichorudishwa maana viongozi ndani ya serikali namba zinawagonga, nao bado wanonekana ni...
Diwani huyo anapatikana kwenye moja ya kata za wilaya ya KONDOA anaitwa "Mh Sambala" kama anavyosomeka katika a/c yake facebook, ambapo amepost kwamba anahtaji kujiunga CDM lakini kwa masharti...
Ukitaka kukwepa fine kutokana na kosa ulilofanya dhidi ya TRA,POLICE,JWTZ,MGAMBO,MKUU WAKO WA KAZI AU KONDA tumia maneno haya
Samahani mkuu
Samahani boss
Tusaidiane mkuu au boss
Tuangalie...
Wanajamii siku zote ukombozi unaanza na watu wachache wenye nia thabiti. Si kawaida umma wote kuamka mara moja na kudai ukombozi.
Nimefikiria hili vuguvugu la ukombozi linaloanza taratibu linaweza...
Lile sakata la vurugu baina ya polisi na wanachuo wa Tumaini Makumira hatimaye limepata ufumbuzi baada ya Serikali kupitia kampuni ya ROCK TRONIC LTD kukubali kujenga matuta na kazi imeanza leo...
Ndg zangu wana Jf nimekuwa nikitafakari vurugu zinazotokea kati ya jeshi la polisi na wanainchi kila panapokuwa na ama maandamano au mpango wa maandamano kwa kile kinachoitwa kufikisha ujumbe...
Kulitikea mlipuko mkubwa kwenye mitambo ya umeme ubungo ambao umepelekea umeme kukatika maeneo mbalimbali ya nchi, sijui kunajitihada gani zinafanyika ili kurudisha umeme huu maana mlipuko huo...
Hii haihusini na thread ta Viwanja . Maswali na mambo mengi ambayo mlitaka kuyajua juu ya NSSF kaelezea juu ya :
UMEME PROGRESS
DARAJA LA KIGAMBONI
MICHANGO AMBAYO INAKUSANYA SASA HIVI
INVESTMENTS...
Wananchi wote wa Rorya hasa maeneo ya Shirati bila kujali Itikadi, Dini, Kabila wala Rangi tutafanya maandamano makubwa Alhamisi tarehe 17.11.2011 kuanzia saa 2:00 asubuhi. Maandamano hayo...
Kila mwaka huwa kuna Mkesha mkubwa wa Maombi kuukaribisha Mwaka mpya pale uwanja wa Uhuru Dar.
Kwa wanaojua watuhabarishe mipango ya mwaka huu maana kuna tetesi kuwa unaweza kufanyika kwenye...
Nipo hapa kituo cha polisi, kitu kinachoendelea jambazi mmoja aliyesadikiwa kuwa na silaha katika begi amepigwa na polisi hadi kufariki na kupelekwa mawenzi hospital.
Kisa:
coaster inayofanya...
WanaJf ni iringa hapa mitaa ya frelimo watu wamejazana sana kwenye nyumba ya mama mmoja wanadai kuna misukule imekutwa amefungia kwenye moja ya chumba katika nyumba yake,inasemekana wananchi...
BilaShaka kila mmojawetu anayeitakia mema nchi yetu ambaye hana chembe ya Ubaguzi.Mh Raisi aliposema anaridhia Tanzania si Kurekebisha KATIBA bali Kutengeneza KATIBA MPYA alifurahishwa na kauli...
Tells patients that they are under no risk
Permanent Secretary of the Ministry Blandina Nyoni
The Ministry of Health and Social Welfare has admitted that two of the five essential drugs...
Kusema la ukweli huwa wakati mwingine nakaa na kutafakari ni jinsi gani mtu unaweza kuingia pale ikulu na kumwambia yule bwana mkubwa Rais kwamba hali huku mtaani imekuwa ngumu na tunataka...
Ugandan traders blockaded several streets in the capital on Tuesday to protest at lengthening power blackouts they say are crippling businesses around the country, witnesses and police said...
wadau nimekuwa nikijiuliza maswali mengi juu ya namna vyombo vyetu vya habari vinavyofanya kazi zake hususani luninga/TVs. sote tunajua mmiliki wa vyombo/chombo cha habari ana athari kubwa namna...
Napatwa na wasiwasi na kila kukicha nakubaliana na wadau waliosema makinda kawekwa kukidhi matakwa ya watu, ameshindwa kwa njia zote kuliongoza bunge, sidhani kama ana uelewa ni wakati gani mbunge...
naamini wabunge waliokuwa bungeni leo, hata wasingeenda. Hakuna walichofanya zaidi ya kupiga vijembe WANAHARAKATI. Sijui ndo mswada wa leo........! Tusubiri mwisho wao utakuaje!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.