Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wana jamii f nawasalimu wote!hv prof Lipumba kapotelea wapi!au ndo keshakubali mziki wa cdm!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
The "First Grader" seeks Oscar attention The story of "The First Grader" is a classic underdog tale: an 84-year-old Kenyan man fights to be educated, even if that means attending an elementary...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Dar Es Salaam Julius Nyerere International Airport Guide (DAR)Public Transport Public transport road: Bus: City buses are easily accessed from the airport, with stops located 500m...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
CDA wajiandaa kubomoa maeneo mawili,La kwanza MLIMWA C na MWATANO, Mpaka sasa wananchi wa mitaa hyo wako fire vby na CDA,KWA taarifa ya kamati ya watu 5 iliyoundwa ili kuonana Na RC wamesema RC...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Serikali mpya ya umoja wa kitaifa nchini Ugiriki imeshinda kura ya kuwa na imani bungeni jana Jumatano. Waziri mkuu mpya, Lucas Papademos, anaweza sasa kuanza kutekeleza hatua za kubana matumizi...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Wale wanafunzi takribani 44 waliokuwa mahabusu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jana walipokewa kishujaa na umati wa wanafunzi wenzao waliporejea Chuoni hapo. Wanafunzi hao ambao walipewa dhamana...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Unaweza hisi ni mama na mwana kiipindi la hasha hii ni maelezo ya sauti ya waziri wa mambo ya ndan mh shamsi vuai jana akiwa anaongea na clouds fm akasema ni kweli kuna watanzania wamekamatwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wasalaam wana jf. Haya mambo ushoga na sera za mkuu David Cameron wengine tulidhani ni utani lakini sasa inaelekea utekelezaji wake usije ukawa hata umeanza hapa tz pia kimya kimya! Nimeoina hii...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
KASHFA POLISI MOROGORO KUWALINDA WAUZA MIHADARATI17/11/2011 0 Comments Siku chache baada ya Kikosi Maalumu cha Kupambana na Ujambazi mkoani Morogoro 'Anti-Robery', kutuhumiwa kujihusisha na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sasa mgao wa umeme umerudi tena! kama bado mlikuwa kwenye mgao , basi umeme huo huo kidogo tulio kuwa tunawagawia mwanzo tunaugawa tena na tena!! na kwa wale wasio na power stablelizer...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Taasisi ya MO Ibrahim, Dk. Mohamed Ibrahim, amesema hawezi kuwazawadia marais wezi, wauaji na wanaokiuka haki za binadamu zawadi wakati wa utawala wao, kwa kuwa kufanya hivyo ni sawa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
sina jipya ndugu zangu. nasikilizia tu jinsi nchi yangu inavyonifanyia vizuri. sukari bei chini,mafuta bei chini,kodi za nyumba kwa dola,mpaka nazi na chumvi nazo zimeshuka bei sikuizi. kweli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndo kwanza nimeingia ndani, nafungua TV. kama kawaida ya TBC nakutana na Bunge. Mbunge mmoja ambaye kwa lafudhi yake nahisi ni Mzanzibar Anasema "......... Naomba makamu wa pili wa rais arudishe...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
kweli hii ni nchi ya mfano na Viongozi wake wana nia ya dhati ktk kuiendeleza nchi yao Kiuchumi,kijamii na kielimu pia,wakati hapa Tanzania sisi tumebaki kuwa ni watu wa kupanga vyema sana lakini...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamani leo nilikuwa nimechelewa kufika dar natokea mbeya.kweli kuna tabu shida sana jinsi watu wanavyolala mpaka huluma sikuwah ona.tutunze kipato tukipatacho kwa maisha ya kesho.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapiga kura wako hatujauona na wala kuusoma huo muswada wa marekebisho ya katiba. Tumesikia kuwa ulisomwa mara ya kwanza ukajadiliwa na wananchi halafu ukaenda kubadilishwa lugha na sasa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
hoja ni bumu. wakaenda kumkurupua rais wa chuo atoe maelezo nn sababu ya bumu kuchelewa kwa ajili ya mwaka wa pili? ilikuwa ni saa nne kasoro usiku huu. haya sasa kumbe na mzumbe wanagoma...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya kuangalia jinsi secret society zinavyotekeleza New World order angalia mpango mwingine kuhakikisha lengo linafikiwa utakavyokua na ujue kwamba vitu vinafanyika sio...
1 Reactions
8 Replies
11K Views
WEDNESDAY, NOVEMBER 16, 2011 WATU watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wakiwa silaha wamemuua kwa kumpiga risasi mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Kisanga kata ya pawanga wilaya ya Iringa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
hapa nipo pande za udsm, ni vurugu tupu, nim,efika na nimekuta wanafunzi wanakimbia huku na huko, nilipo pita karibu na kikundi fulani cha wanafunzi nikasikia wakisema kuna mtu mmoja wa usalama wa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom